James88
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,700
- 1,765
Kwa ambao mtakuwa mnafatilia processor za Hi-silicon kirin. Mnaweza kuona kwamba nayo ni moja ya processor nzuri na mtumiaji mkubwa wa hii processor amekuwa ni Huawei kwa sehemu kubwa.
Tumeshuhudia device kama Huawei p20 pro ambayo ina processor ya Hi silicon kirin 970 ikifanya vizuri katika kwenye market ikicompete na high end devices zingine like samsung s9+ na samsung note 9 ambazo zina processor ya Exynos 9810. Pia devices zingine kama apple ambazo zina processor za Bionic A series.
Now, mwezi huu katikati huawei watarelease flagship nyingine ambayo Huawei mate 20 pro ambayo itakuwa na processor ya Hi-silicon kirin 980. Walioitengeneza hii processor wanasema huenda ikawa ndio processor yenye nguvu duniani kwa processor za simu ukicompare na other bigger processors like snapdragon and Exynos.
Anyway, ngoja tuisubiri hiyo processor, ila wachina wanakuja kwa kasi moja ya ajabu.