Uzoefu una majibu tofauti na hii,wapo wanawake japo sio wote wanakua na mwanaume wa kutoa hela,mwanaume wa kuuzia sura na mwanaume wa "shughuli",so inawezekana wapo wanaume wa aina hiyo lakini sio wote!
Uzoefu una majibu tofauti na hii,wapo wanawake japo sio wote wanakua na mwanaume wa kutoa hela,mwanaume wa kuuzia sura na mwanaume wa "shughuli",so inawezekana wapo wanaume wa aina hiyo lakini sio wote!
...hapa unazungumzia cheating?
hapana bana, mdahalo huu unazungumzia utofauti wa mahitaji ya
mwanamke na mwanaume...
ukigusia cheating, ina maanisha ume base tafiti yako kwenye tendo la ndoa pekee.
Unaweza kutafakari na kufunguka zaidi kwa mtizamo unaoangalia "nje ya boksi?"
...lol...chauro...jibu la ukamilifu au la inategemeana na unavyoyaangalia maisha yako...is the glass half full or half empty?
"Winners compare their achievements with their goals, while losers compare their achievements with those of other people"
...usikubali ku doubt ukamilifu wako ati tu kwakuwa kuna mtu ana ku feed maneno wewe una kasoro hii, na ile...
"what a man achieves and all tha he fails to achieve is the direct result of his own thoughts"
YES CHAURO, YOU ARE PERFECT and, THAT'S WHY YOU ARE UNIQUE!
wakati nikiwa medical school nilikuwa na rafiki yangu anatoka New Zealand his name was Darious , Huyu bwana alikuwa Girlfriend Mkorea.
Niliwahi kumuuliza what is his plan kwa yule Shori.. akanijibu nothing serious "just a fling" according to him ... nikamwambia mbona yule binti anatamba kwa rafiki zake you are everything to her ...
akanijibu kwamba when it comes to love & Life "Girls always use their heart to think " but we Men "we use our Brain to Think " nikakubaliana naye kwa hilo ... So kutokana na hiyo situation nikirudi kwenye hiyo Poll jibu langu ni NDIO...