Hi kwa ajili yenu...

Hi kwa ajili yenu...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
habari za sahizi wakuu humu ndani.kitmbo sana nimekuwa mvivu wa kupost kimtindo nisiwachoshe cse siwalipi:smile-big:just jokes,hili lina wahusu mama,dada,wadogo,shemeji,wakee na girl lover wetu,hivi mnaroho gani au ni majaribu gani ya namna hi.ni hivi mi na msichana nimeza nae na ndo ninaishi nae na mpango wa kuowa kabisa,tatizo juzi kampa msichana mwingine number yangu ambae ni rafiki yake akaanza kunitumia msg za mapenzi kumpigia akanitajia jina la mtu wangu wa zamani ambae nilikuwa nae kabla ya yeye na nilikuwa na mpenda sana,tuka potezana kwa mda mrefu,baada ya mawasiliano na huyo mtu akaanza kuniletea maswala ya kunipenda na kunisifia vitu ambavyo nikachezwa na machale,kuhisi ni mtu wangu ananijaribu.tatizo mi nikajiachia..kumbe kweli ni rafiki yake,kwani msichana wangu anaanza kusema na msaliti sijui,hayupo moyoni mwangu..isia zangu ziko kwa mwingine.maana huyo rafiki yake bado anachat na mimi na kunitumia msg japo anajua nimejua.najaribu kuto mjibu.JE JAMANI WADADA NI MITIHANI GANI HII...MNATAKA TUFELI ILI MSEME HATUWAPENDI
 
mtafute huyo rafiki yake umtafune...
 
Back
Top Bottom