Superman JF-Expert Member Mar 31, 2007 5,693 1,701 Nov 10, 2010 #2 Karibu Kamanda. Hakuna kadi JF. Ila unaweza kuchangia kwa hiari maana inajiendesha kwa Michango ya Wanachama.
Karibu Kamanda. Hakuna kadi JF. Ila unaweza kuchangia kwa hiari maana inajiendesha kwa Michango ya Wanachama.
TWISA Member Aug 28, 2010 28 0 Nov 10, 2010 Thread starter #4 Superman said: Karibu Kamanda. Hakuna kadi JF. Ila unaweza kuchangia kwa hiari maana inajiendesha kwa Michango ya Wanachama. Click to expand... Thanks mkuu, ukikaa na wenye hekima, sikumoja utakuwa mwelevu. tupo pamoja
Superman said: Karibu Kamanda. Hakuna kadi JF. Ila unaweza kuchangia kwa hiari maana inajiendesha kwa Michango ya Wanachama. Click to expand... Thanks mkuu, ukikaa na wenye hekima, sikumoja utakuwa mwelevu. tupo pamoja
TWISA Member Aug 28, 2010 28 0 Nov 10, 2010 Thread starter #5 genekai said: Karibu mkuu, naona umeingia na avatar! Click to expand... Asante mkuu wangu, avatar??, utajulikanaje???,ndoo hivyo kusukuma gurudumu la maendeleo kwa upande wa pili, lengo tufike!!!!
genekai said: Karibu mkuu, naona umeingia na avatar! Click to expand... Asante mkuu wangu, avatar??, utajulikanaje???,ndoo hivyo kusukuma gurudumu la maendeleo kwa upande wa pili, lengo tufike!!!!
TWISA Member Aug 28, 2010 28 0 Nov 10, 2010 Thread starter #7 Igwamanoni said: Karibu komredi, kwema utokako? Click to expand... . Kwema kabisa!!, tupo pamoja.