TCRA toeni Elimu ya udukuaji kuzuia uhalifu

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
853
1,005
Hi great thinkers.

Natuma ombi maalum Tcra watoe Elimu kupitia vyombo vya habari kuhusu udukuaji na sheria zake.

Hii inatokana na wimbi la watu wengi hivi Sasa kufuatilia simu za watu bila sababu za msingi.

Natumaini ombi langu litakubaliwa.
 
Back
Top Bottom