Shukrani ya kujiunga na Jamii Forums
Members, nimefurahi mno leo kujiunga Rasmi na Forum hii kwani najisikia kama mtu aliyepanua wigo wa uhuru wake.
Mna kila sababu za kutazamia mchango wangu wa kusisimua, haswa katika kipindi chetu hiki cha mpito kuelekea kwenye ukombozi na uhuru kamili yaani hadi pale Rais wetu mpya makini na asiyechekacheka wala kuwa na tamaa ya ku-establish empire atakapoapishwa - Dr.Wilbrod Slaa.:llama: