fasta waambie htc one m9 hiyo ndio simu safi kwanza imepata upgrade to android nougat 7
pili ina chipset snapdragon 810 hivyo tegemea kurun vizuri game na app mbalimbali tofauti na Z2 ya kizamani
tatu ni simu yenye camera bomba kushinda hao wengine

Sasa wakuu mnamchanganya huyo muulizaji hapo juu hahahahaha
Ila me kwa upande wangu nakushauri chukua m9 japo kuna kipindi nlisikia hawa htc wanaelekea kufa au waliuza kampuni sina uhakika kwakweli..
Xperia z2 ni nzuri ila nna wasiwasi na camera yake na kwa upande wa huawei p8 siijui vyema japo kwenye reviews wanaisifia sana kuliko z2