hhehehhahahahah

hhehehhahahahah

msaki jr

Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
12
Reaction score
0
hapo zamani moyo na ndevu walikuwa marafiki wakubwa, ikatokea cku moja ugomvi mkubwa baina yao, Moyo akampa kichapo ndevu na kukimbia; lahaulaaaa moyo akamkuta binadam anapiga mihayo akazama mdomoni mwa binadam na kujificha,
hadithi itaendelea moyo akitoka nje!
 
Back
Top Bottom