kambalemzee94
Member
- Jan 2, 2018
- 6
- 1
Nimesoma combination ya HGL. Ni kozi gani naweza soma? Ambazo ni nzuri Kwa maisha haya ya Tanzania
Coarse ya kichoko kuliko kozi zote apa tanzania.... Bora asome ata law sio hii kituuSima Human resource management
Unakosea Sana SanaCoarse ya kichoko kuliko kozi zote apa tanzania.... Bora asome ata law sio hii kituu
Duuu mkuu hahaaaaaa😡😡😡😡Soma doctor of medicine, kwa HGL iko poa aseee, utafurahia maisha mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hiyo ndo itamfaa sana yaniDuuu mkuu hahaaaaaa😡😡😡😡