Hezbullah anavyo mcharaza Israel

Hezbullah anavyo mcharaza Israel

Toka line drones zikateka mji?

Ujinga unakusumbua sana wewe!!!

Angalia hapa chini magaidi hao wakibondwa!!
We kweli ni kenge Israel na USA vita huwa hawaviwezi zaidi ya kuvunja majumba ndio sababu wakikuambia tumepiga target zote ujuwe hawana walilo piga zaidi ya civilian target kwa kuvunja majumba na kuwauwa wanawake, vizee na watoto huwa mmeshinda lakini kuvunja silaha au kuwauwa askari hakuna lolote unless mvizie vizie kama mlivyo fanya Iran mnawambia tupo kwenye peace talk afu mnashambulia hahaha au mpate kibaraka mliye muhonga mabillion ya pesa ili awambie siri zao kama mlivyo fanya kwa Nasurlah zaidi ya hapo hamna lolote
 
Acha ujinga toka lini Drones ikateka mji?

Tuambie na sisi tujue maana akili zenu wafuga midevu na majini hazina akili!!
 
Echolima1 kidogo umekuwa na ushabiki wa maandazi !!!

sasa Adiosamigo anakuekea picha Hezbollah wakiwauwa Wanajeshi wa Israel yani IDF

wewe unaleta picha
Jeshi la Anga la Israeli likipiga miji ya Lebanon!!!

Na unadai Hezbollah wanakufa!!!!

kuna tofaut apo
hatuoni wakifa Hezbollah

lkn tunaona miji ikipigwa!!

HEZBOLLAH inauwa live wanajeshi wa Israel ✍️
Yaleyale ya Magaidi wa Hamas wanashinda vita kumbe ndiyo wanaopukutika kama nzige!! Na mji kugeuka Magofu!!
 
Back
Top Bottom