hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,667
- 27,548
Wapi nimezungumzia Surah Al imran? mie nimekupa Al Maida ushazeeka sana naona unasahau hadi kusoma maandiko yenu. Surah 5:21 ni Al Maidah
Quran imeandikwa na jahil aka Mjinga, mwenye sifa za kurogwa, mbakaji,mwizi,taperi,dhurumaji aliyefanyiwa operation mara mbili na Jibril aliyebeba widom kwenye dishi akapasua kifu chake kisha akajazwa hizo wisdom yaaani ujinga ujinga tu wa Mohammad. mara ngapi nimekufundisha aya muhimu za kuonesha Mungu sio mmoja katika uislam ? na wewe akili zako za ubongo wa panzi?
Hahaha Yesu alisema Mungu ni Baba yake haya na wewe sema Allah ni baba yako, Yesu alisema yeye ni nuru na asiyemfuata yeye atapata uzima wa milele, haha sasa utabaizwa lini maana yeye alibatizwa hahaha, Alisema yeye yumo ndani ya Baba yake na baba yake yupo ndani yake unakubali? Niambie katika aliyosema Yesu wewe unafuata kipi? nimemiss kucheka hahahaha unaamini Yesu akija atakuhukumu? maana Mtume wako anaamini atahukumuwa na Yesu.
Alisema na wayahudi wakataka kumuua au hujui kisa chake? Alisema yeye ni Mungu wakasema amekufuru Before Ibrahim i AM(YHWH) hivi wewe kuna kitu unnafahamu kabisa? Kasome Yohana 5:26 Kama vile Baba alivyo chanzo cha uzima, hali kad halika amemwezesha Mwanae kuwa chanzo cha uzima.
Kisha kasome 2 Yahaya 17:1 nimekupa hilo jia ili upate kuamini Yohana si mnamuita Yahaya.
Katika hii kitu huwa hamsoni yote aya why? Yesu ni Roho ya Allah, Yesu ni Messenger na Yesu ni Neno au mnaogopa maana hivyo ndio sifa kuu ya Allah wenu na Yesu vipo kwake vyote Quran 4:171
Mathayo 28:19 Yesu aliwaambia wanafunzi wake: "Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba (1), na la Mwana,(2) na la Roho Mtakatifu" (3) Vipi na nyie why Three imetamalaki katika uislam kutawadha kusema bismillah n.k hadi kusukutua na ukikojaa unatakiwa ukitike uboo mara tatu unauelewa wowote kuhusu tatu? au nikupe elimu a i know huna hiyo elimu am here to help Muslims ask tu usione aibu
Alitumwa yes kwa Kondoo waliopotea wa Israel ila alikuja sema vizuri na Kondoo wengine kasome
Yohana 10:16-18
16 ;Ninao kondoo wengine ambao si wa zizi hili; nao pia itanibidi niwalete, nao wataisikia sauti yangu. Hivyo patakuwa na kundi moja na mchungaji mmoja. 17 ;Baba yangu ananipenda kwa kuwa ninautoa uhai wangu ili niupate tena. 18; Hakuna mtu atakayeondoa uhai wangu, bali ninautoa mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuuchukua tena. Hii ni amri niliyopo kea kutoka kwa Baba yangu.”
Umechapia ni Al imran 67
Mbona umekwepa Quran Al Imran 67 Tafiri halal unaweka Tafsir kibudu hahaha Kwa hiyo Hanif ni Islam?
مَا كَانَ إِبۡرَٰهِيمُ يَهُودِيّٗا وَلَا نَصۡرَانِيّٗا وَلَٰكِن كَانَ حَنِيفٗا مُّسۡلِمٗا وَمَا كَانَ مِنَ ٱلۡمُشۡرِكِينَ
Maa kaana Ibraaheemu Yahoodiyyanw wa laa Nasraa niyyanw wa laakin kaana Haneefam Muslimanw wa maa kaana minal mushrikeen
Sasa unapodai wewe Ibrahim hakuwa Kafir sasa naomba Tafsiri ya Hanif maana Quran inasema Ibrahim alikuwa Hanif inamaa Nyie ni Hanif kuna mwenzako huku siku za nyuma nishamsahau nilimpa fundisho akapotea hakuwa na raha kuitwa Hanif
Verse za Quran zimewekwa na Mjinga japo amecopy kwa wengine tatizo lake alizibadilisha zionekane mpya huku hajui anaharibu wasomi wakizisikia.
Etymology
The term ḥanīf comes from the Arabic root ḥ-n-f meaning "to incline, to decline" or "to turn or bend sideways" from the Syriac root of the different meaning “to deceive, to turn pagan, to lead into paganism”. The Syriac word refers to pagans and deceivers.<a The Arabic is defined as "true believer,
Hujaacha tu Ujinga unajua Bakka ipo Jordan na sio Makkah historical na kila kitu Mecca karne ya 6 ilikuwa ni jangwa ukitaka debate hii njoo na thread tofauti nikuumbue kila nyanja na imani yako ianguke puuu
Unajua katika maelezo yote ya Mji wa Bacca na Mecca nini kinachofanana. ? hizi vitu watu wa historia washapitia wakamaliza bora ungeseam Petra jibu hayo ya juu kisha nikupe elimu nzima ya Histora nahisi unahitaji elimu kuhusu miji unadhani waislam na wana zuoni kuzusha Bakka na kuisingizia ndio Mecca wana ujanja wao
Kumbuka unawazungumzia Waisrael hahaha
View: https://www.youtube.com/shorts/YyBL4JFG6I8?feature=share
View: https://youtu.be/uozietUble4
View: https://youtu.be/40DclW84HkM
View: https://youtu.be/sOTaNZIa_C4
Sikiliza hizo video upate elimu kisha toa maoni maana wewe wewe unabishia kila kitu
Mwanazuoni umerudia ,napenda kusikiliza madini yako
Hakika najifunza mengi ,na mapya kila siku