Hezbullah anavyo mcharaza Israel

Hezbullah anavyo mcharaza Israel

Daaaa nimechekaaa ndugu!! Mwanzo yule jamaa ilikuwa kama anasuport Israel +Marekani lkn muda ulivyosonga wakaanza ukasuku wao kwasasa nikama viongozi mitambo vile!! Japo wa Uhispania walikuwa tangu mwanzo wamegoma kuungana!

Lkn Uk Italy Germany Jamaaa kasuku sana!!

wameona mziki wa Iranian mzito! wakatafuta maneno mzuri kila mmoja kukaa mbali na mgogoro!!!! 😜😜
Sasa wameona huyo anaejiita baba anachezea wao wanaingiaje
Wazayuni wa jf hata wakiwaza kwakutumia makalio bado hawabadilishi ukweli
Uhispania walijua mda kama dingi anawazingua
 
Ukipunguza ushabiki, utaona mambo yako tofauti kidogo.
Israel inashambulia makazi ya raia kuipa presha serikali ya Lebanon iishinikize Hizbollah kusarenda. Kama unafuatilia hawa jamaa ndio mambo yao hata Iran 2025 walifanya hivyo hivyo hata vita ya February walifanya hivyo hivyo unluckily or unfortunately Iran sio Lebanon na wao wakaanza kushusha vinu maeneo ya kiraia Israel akasarenda. Hawa jamaa nguvu hawana karata yao kukuinamisha ni kupiga raia ili wewe ulaumiwe. Hixbolllah wapo Bint Jubeir unapiga Beirut kutafuta nini!?
 
Ulichoandika hapo ni UHARO hivi kwa nini waislamu wengi akili mnakuwa kama hamnazo?

Mnawafanya watu wengine wajinga kama ulivyo mjinga kwa nini?

Bint-Jibeil ukiiona sasa hivi ni bora Gaza ilivyo imechakazwa kupita maelezo magaidi wa Hezbollah wanapigwa kama ngoma kila uchao na wewe Mmatumbi mwenzangu unasifia ujinga!!
M
 
Wako wapi wale makenge waliye sema Hezbullah imekwisha

Echolima1 Mzee Kigogo Mlaleo

Nendeni mkawasaidie mashogo wenzenu kule Lebanon wanacharazwa vibaya sana mpaa magazeti ya mashoga wenzenu wanalia eti Israel hawana experience ya kupigana na Hezbullah hahaha

View: https://youtu.be/_68snI24Foo?si=qWhRQdA6p5wRdBJq

Anayecharazwa ni nani emu acha jazba kwanza nyoosha maelezo vizuri anayecharazwa ni Hizbollah au ni Israel mana maelezo yako ndani ni tofauti na tittle yako. ukija hapa utulie ili tuweze kuchangia hoja yako
 
Wako wapi wale makenge waliye sema Hezbullah imekwisha

Echolima1 Mzee Kigogo Mlaleo

Nendeni mkawasaidie mashogo wenzenu kule Lebanon wanacharazwa vibaya sana mpaa magazeti ya mashoga wenzenu wanalia eti Israel hawana experience ya kupigana na Hezbullah hahaha

View: https://youtu.be/_68snI24Foo?si=qWhRQdA6p5wRdBJq

Sijachangia mada humu muda mrefu sana...kwani uzushi mwingi na sihusudu uongo, sasa umeniquote kwa Lipi haswa inabidi unifahamishe uzushi sio mzuri.

Heading yako dhamira yako nzima as if Hezbollah imekufurahisha kwa kudonoa donoa na drone zake za bongo movie. Anyway, katika vita hawana uwezo wa kuwashinda wayahudi au wakristo sina wasi wasi na hilo. pia Quran inathibitisha pia so jifurahishe na iblis wako akiwa anakupump pump ubavuni mwako..

Mtu aliyeshika Dini hawezi kuwa mwehu kama iblis.

إِذْ قَالَ اللَّهُ يَا عِيسَىٰ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ وَمُطَهِّرُكَ مِنَ الَّذِينَ كَفَرُوا وَجَاعِلُ الَّذِينَ اتَّبَعُوكَ فَوْقَ الَّذِينَ كَفَرُوا إِلَىٰ يَوْمِ الْقِيَامَةِ ۖ ثُمَّ إِلَيَّ مَرْجِعُكُمْ فَأَحْكُمُ بَيْنَكُمْ فِيمَا كُنْتُمْ فِيهِ تَخْتَلِفُونَ
Al-Barwani
Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru(Wakina Adiosamigo na Ndugu zake katika uislam), mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.

Quran 5:20 inasemaje

وَإِذْ قَالَ مُوسَىٰ لِقَوْمِهِ يَا قَوْمِ اذْكُرُوا نِعْمَةَ اللَّهِ عَلَيْكُمْ إِذْ جَعَلَ فِيكُمْ أَنْبِيَاءَ وَجَعَلَكُمْ مُلُوكًا وَآتَاكُمْ مَا لَمْ يُؤْتِ أَحَدًا مِنَ الْعَالَمِينَ
Al-Barwani
Na pale Musa alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni neema za Mwenyezi Mungu zilizo juu yenu, alipo wateuwa Manabii kati yenu, na akakufanyeni watawala, na akakupeni ambayo hakuwapa wowote katika walimwengu

Na Quran 5:21 inasemaje pia!

يَا قَوْمِ ادْخُلُوا الْأَرْضَ الْمُقَدَّسَةَ الَّتِي كَتَبَ اللَّهُ لَكُمْ وَلَا تَرْتَدُّوا عَلَىٰ أَدْبَارِكُمْ فَتَنْقَلِبُوا خَاسِرِينَ
Al-Barwani
Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni. Wala msirudi nyuma, msije mkawa looser.
Ahmed Raza Khan
“O my people! Enter the holy land which Allah has decreed for you and do not turn back, for you will turn back as losers.”

Ahmed Ali
Enter then, my people, the Holy Land that God has ordained for you, and do not turn back, or you will suffer."

Watu wa Allah wanapambana na watu wa Iblisi Hezbollah na Muslims world nani atashindwa
 
IDF vita vyao kuvizia viongozi na kulipua majengo sio kupigana mkono kwa mkono!!

Hamas wenyewe wamewashindwa mkono kwa mkono!!

Ukifanya tafiti ndogo kwenye Akili yako tu utagundua hata viongozi wa Hamas wameuwawa pale Gaza kutokea Angani na Drone!..

sio mkono kwa mkono!!

Mkono kwa mkono wapo kwenye MEDIA + karatasi utasikia operation Entebbe! Lkn ndio kuvizia!
Vipi kifo cha Sinwar ilikuwa mguu kwa mguu? hahahaha alikuwa amevaa hijabu kama Allah

1777915841523.png
1777915857973.png
1777915884581.png
 
Sijachangia mada humu muda mrefu sana...kwani uzushi mwingi na sihusudu uongo, sasa umeniquote kwa Lipi haswa inabidi unifahamishe uzushi sio mzuri.

Heading yako dhamira yako nzima as if Hezbollah imekufurahisha kwa kudonoa donoa na drone zake za bongo movie. Anyway, katika vita hawana uwezo wa kuwashinda wayahudi au wakristo sina wasi wasi na hilo. pia Quran inathibitisha pia so jifurahishe na iblis wako akiwa anakupump pump ubavuni mwako..

Mtu aliyeshika Dini hawezi kuwa mwehu kama iblis.

إِذْ قَالَ اللَّهُ يَا عِيسَىٰ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ وَمُطَهِّرُكَ مِنَ الَّذِينَ كَفَرُوا وَجَاعِلُ الَّذِينَ اتَّبَعُوكَ فَوْقَ الَّذِينَ كَفَرُوا إِلَىٰ يَوْمِ الْقِيَامَةِ ۖ ثُمَّ إِلَيَّ مَرْجِعُكُمْ فَأَحْكُمُ بَيْنَكُمْ فِيمَا كُنْتُمْ فِيهِ تَخْتَلِفُونَ
Al-Barwani
Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru(Wakina Adiosamigo na Ndugu zake katika uislam), mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.

Quran 5:20 inasemaje

وَإِذْ قَالَ مُوسَىٰ لِقَوْمِهِ يَا قَوْمِ اذْكُرُوا نِعْمَةَ اللَّهِ عَلَيْكُمْ إِذْ جَعَلَ فِيكُمْ أَنْبِيَاءَ وَجَعَلَكُمْ مُلُوكًا وَآتَاكُمْ مَا لَمْ يُؤْتِ أَحَدًا مِنَ الْعَالَمِينَ
Al-Barwani
Na pale Musa alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni neema za Mwenyezi Mungu zilizo juu yenu, alipo wateuwa Manabii kati yenu, na akakufanyeni watawala, na akakupeni ambayo hakuwapa wowote katika walimwengu

Na Quran 5:21 inasemaje pia!

يَا قَوْمِ ادْخُلُوا الْأَرْضَ الْمُقَدَّسَةَ الَّتِي كَتَبَ اللَّهُ لَكُمْ وَلَا تَرْتَدُّوا عَلَىٰ أَدْبَارِكُمْ فَتَنْقَلِبُوا خَاسِرِينَ
Al-Barwani
Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni. Wala msirudi nyuma, msije mkawa looser.
Ahmed Raza Khan
“O my people! Enter the holy land which Allah has decreed for you and do not turn back, for you will turn back as losers.”

Ahmed Ali
Enter then, my people, the Holy Land that God has ordained for you, and do not turn back, or you will suffer."

Watu wa Allah wanapambana na watu wa Iblisi Hezbollah na Muslims world nani atashindwa
Pole sana dogo ukifata hio Surah Al Imran ujumbe upo wazi kabisa hakuna Mungu zaidi ya mmoja tu huyo Yesu sisi tunafata zaidi yenu sababu hakudai yeye ni Mungu zaidi ya kusema ni Mtume wa Mungu aliye tumwa kwa kondoo walio potea wa Israel. We kama ni kondoo uliye potea sawa alitumwa kwako kama bado unasema kuna 1=3 basi we si mfuasi wa Yesu hata siku moja

Surah Ali 'Imran - Verse 62

إِنَّ هَٰذَا لَهُوَ ٱلْقَصَصُ ٱلْحَقُّ ۚ وَمَا مِنْ إِلَٰهٍ إِلَّا ٱللَّهُ ۚ وَإِنَّ ٱللَّهَ لَهُوَ ٱلْعَزِيزُ ٱلْحَكِيمُ
"Indeed, this is the true narration. And there is no deity except Allah. And indeed, Allah is the Exalted in Might, the Wise." [3:62] [1]
Hi Surah pia inakuambia pia Nabii Ibrahim alikuwa Muislam sio kafiri kama nyie wakristo na wayahudi

Surah Ali 'Imran - Verse 95

قُلْ صَدَقَ ٱللَّهُ ۗ فَٱتَّبِعُواْ مِلَّةَ إِبْرَٰهِيمَ حَنِيفٗا ۖ وَمَا كَانَ مِنَ ٱلْمُشْرِكِينَ
"Say, 'Allah has told the truth. So follow the religion of Abraham, inclining toward truth; and he was not of the polytheists'." [3:95] [1]
Hi Surah chini inaongelea Bakkah ambayo ni Makkah ndipo pakwenda abudiwa

Surah Ali 'Imran - Verse 96

إِنَّ أَوَّلَ بَيْتٍۢ وُضِعَ لِلنَّاسِ لَلَّذِى بِبَكَّةَ مُبَارَكًۭا وَهُدًۭى لِّلْعَـٰلَمِينَ
"Indeed, the first House [of worship] established for mankind was that at Bakkah [i.e., Makkah], blessed and a guidance for the worlds." [3:96] [1]

Afu mlivyo wajinga hata bibilia zenu zimetaja Makkah ambayo ni Bakkah nyie mnadai karibu na Jerusalem hahahaha uwongo ni mfupi sana mbona hamtuonyeshi wapi kuna kisima cha maji kusicho kauka au lini mlienda kuhiji nyie hapo Bakkah

Bacca

The "Bible pilgrim in Baca" refers to the imagery in Psalm 84:5–7, where worshippers traveling to Jerusalem (Zion) pass through a difficult, dry location known as the "Valley of Baca
 
Nduguyo Hamu ya kudedi imewajaa washaanza kurusha makombora na Drone huko UAE. yaani badala ya kurusha kuelekea Israel wanaona wamnyanyase Muarabu,, itafika nae atawajibu japo hataki uchokozi wa hovyo...
Wanapiga nchi zinazo kuwa frontline kuilinda Israel
 
Vipi kifo cha Sinwar ilikuwa mguu kwa mguu? hahahaha alikuwa amevaa hijabu kama Allah

View attachment 3583826View attachment 3583827View attachment 3583828

Nilichosema na ulichojibu havifanani. 🤔🤔

Mm sijasema viongozi wa Hamas hawajakufa !!!

hoja yangu ilikuwa wamekufa lkn kupitia Anga ndege au Drone!!!
Badala IDF kuonyesha ukomando wao jiran kabisa na kwao!!!

Nimesema mkono Yani Makomando wa IDF kwenda kupigana kupitia risasi zao na mbinu zao wangemshika kikomando pengine wangejua mateka wao wapo wp!!!

au kumuua lkn kwa risasi japo tujue kulikuwa na mapigano ya ana kwa ana kabla ya kufa kiongozi wa Hamas!!!

Sasa IDF inatuma Drone inauwa ndio wanafika !!

sasa apo nani komando Drone na mtengenezaji !!!?

au IDF mtu alienda kuona mtu kafa kumbe ni uyu!!!

mana IDF wamemkuta kashakufa
tena inadaiwa mwanzo hawakujua uyo nani Baadae ndio wakajua!!!!

Waisrael wanapigana uku waoga sana wa kifo!!
ndiomana wanakosa sifa zile wamejivika kupitia MEDIA!!

Gaza na Israel ni pua na mdomo lkn miaka 2 wameshindwa kukomboa mateka wao!!!

Hamas wakiwa hawana msaada wowote wa maana ¿¿¿

ukifananisha na Israel!!

Lkn imebidi kukaa Mezani kupatiwa wanachoitaji uku nawao kutoa wafungwa kibao!!!

Je Sio kushindwa uku!!!!?
 
Wanapiga nchi zinazo kuwa frontline kuilinda Israel
Tatizo la Iran uislam umewazidia so issue za uongo wameziweka first priority leo Wamekanusha kuwa hawajarusha drone wala makombora. na wanasema UAE aki retaliate eti atakoma.

Iran warns UAE of 'crushing and regretful' response if attacks are launched from its soil​

Tuesday, 05 May 2026 6:40 PM [ Last Update: Tuesday, 05 May 2026 6:40 PM ]
 
Nilichosema na ulichojibu havifanani. 🤔🤔

Mm sijasema viongozi wa Hamas hawajakufa !!!

hoja yangu ilikuwa wamekufa lkn kupitia Anga ndege au Drone!!!
Badala IDF kuonyesha ukomando wao jiran kabisa na kwao!!!

Nimesema mkono Yani Makomando wa IDF kwenda kupigana kupitia risasi zao na mbinu zao wangemshika kikomando pengine wangejua mateka wao wapo wp!!!

au kumuua lkn kwa risasi japo tujue kulikuwa na mapigano ya ana kwa ana kabla ya kufa kiongozi wa Hamas!!!

Sasa IDF inatuma Drone inauwa ndio wanafika !!

sasa apo nani komando Drone na mtengenezaji !!!?

au IDF mtu alienda kuona mtu kafa kumbe ni uyu!!!

mana IDF wamemkuta kashakufa
tena inadaiwa mwanzo hawakujua uyo nani Baadae ndio wakajua!!!!

Waisrael wanapigana uku waoga sana wa kifo!!
ndiomana wanakosa sifa zile wamejivika kupitia MEDIA!!

Gaza na Israel ni pua na mdomo lkn miaka 2 wameshindwa kukomboa mateka wao!!!

Hamas wakiwa hawana msaada wowote wa maana ¿¿¿

ukifananisha na Israel!!

Lkn imebidi kukaa Mezani kupatiwa wanachoitaji uku nawao kutoa wafungwa kibao!!!

Je Sio kushindwa uku!!!!?
Tatizo lenu mnadhani hizi Vita Israel yeye ndie anazitaka japo mna macho ,mna akili,mna ufahamu, kwa kuwa akili zenu ni migando kama samri ni ngumu sana kuwasikiliza sababu mnakuja na rogic za kijinga sana...

Israel anajidefence dhidi ya maadui wake wanaotaka kila siku afutike, na sio jana au leo ni kila siku maadui wanaongezeka ukiwepo wewe am sure zamani haukuwa adui kama ulivyo sasa sababu kuna makundi yanachochea chuki kuanzia kwa watoto wakianza kupata akili tu waichukie Israel.. Nakumbuka sisi tulivyokuwa wadogo tulikuwa tunafundishwa nyimbo za kuwachukia makaburu wa Sauth Africa. but kwa sasa tunaona wausi ndio wabaya kuliko wazungu makaburu.

Wanaoichukia Israel ukiwauliza nini wanaichukia watakuambia Israel inaua Watoto, au maangamizi, hawasomi historia kabisa Israel always inachokozwa na maadui wapya na wa zamani. na kwa miaka hii mtapigwa tu hata kama na wewe hupendi wanavyopiga wait tu njia zote watatumia kuwaangamizeni ukiweko na wewe.

Eti unataka mjeshi aingie kichwa kichwa kwa adui yake. kichcekesho nyie waislam mnapenda uongo na mkishikwa hamkubali umesema Israel imeua viongozi wa Hamas kwa ndege na Drone, nikakupa ushahidi wa Sinwar kapigwa kkwenye combat live, hata Hamas wao wamefurahi kiongozi wao kufa kwenye mpambano.. wewe iblis unakataa.. keep ujinga wako wa msikitini. mtu muongo ni iblis muumbue muda wote maana ni raha kumponda jiwe nyoka.
 
Hio nyimbo bado unayo kichwani hebu tuonyeshe Iran alivyo ivuruga Israel mbona mnazuia watu wasitoe aibu zenu
Iran kupiga residential house ndio kaharibu Israel? hahahaha kipondo walichokula ni kikubwa mno na bado wanataka tena kama ule wimbo mtoto anautaka tena... nani anakunyika news? panda tu ndege uende Tel aviv ukangaalie madhara maeneo ya raia, Israel wameweka kabisa list ya house zilizopata madhara na zingine zisizo faa. ila maeneo ya jeshi yapo fiti ndege zote zipo fit drone factory na mengine muhimu yapo intact.

Nikuulize Ewe Mshia wa Ibadhi una picha zozote utupatie maangamizo huko iran au na wewe unaficha? hujasikia Iran wanasema walipwe fidia ya vita? hali ni tete!

Kinachowasumbua ni uislam wao fake tu kuwa Allah ataonekana amejisalimisha. maana hata waandamanaji wanauliwa kosa lao wanaambiwa nchi ya kiislam so ukiipinga unampinga Allah adhabu ni kitanzi tu.. Allah mwenyewe hata hajui kinachoendelea
 
Pole sana dogo ukifata hio Surah Al Imran
Wapi nimezungumzia Surah Al imran? mie nimekupa Al Maida ushazeeka sana naona unasahau hadi kusoma maandiko yenu. Surah 5:21 ni Al Maidah
ujumbe upo wazi kabisa hakuna Mungu zaidi ya mmoja tu
Quran imeandikwa na jahil aka Mjinga, mwenye sifa za kurogwa, mbakaji,mwizi,taperi,dhurumaji aliyefanyiwa operation mara mbili na Jibril aliyebeba widom kwenye dishi akapasua kifu chake kisha akajazwa hizo wisdom yaaani ujinga ujinga tu wa Mohammad. mara ngapi nimekufundisha aya muhimu za kuonesha Mungu sio mmoja katika uislam ? na wewe akili zako za ubongo wa panzi?
huyo Yesu sisi tunafata zaidi yenu
Hahaha Yesu alisema Mungu ni Baba yake haya na wewe sema Allah ni baba yako, Yesu alisema yeye ni nuru na asiyemfuata yeye atapata uzima wa milele, haha sasa utabaizwa lini maana yeye alibatizwa hahaha, Alisema yeye yumo ndani ya Baba yake na baba yake yupo ndani yake unakubali? Niambie katika aliyosema Yesu wewe unafuata kipi? nimemiss kucheka hahahaha unaamini Yesu akija atakuhukumu? maana Mtume wako anaamini atahukumuwa na Yesu.
sababu hakudai yeye ni Mungu
Alisema na wayahudi wakataka kumuua au hujui kisa chake? Alisema yeye ni Mungu wakasema amekufuru Before Ibrahim i AM(YHWH) hivi wewe kuna kitu unnafahamu kabisa? Kasome Yohana 5:26 Kama vile Baba alivyo chanzo cha uzima, hali kad halika amemwezesha Mwanae kuwa chanzo cha uzima.

Kisha kasome 2 Yahaya 17:1 nimekupa hilo jia ili upate kuamini Yohana si mnamuita Yahaya.
zaidi ya kusema ni Mtume wa Mungu
Katika hii kitu huwa hamsoni yote aya why? Yesu ni Roho ya Allah, Yesu ni Messenger na Yesu ni Neno au mnaogopa maana hivyo ndio sifa kuu ya Allah wenu na Yesu vipo kwake vyote Quran 4:171
aliye tumwa kwa kondoo walio potea wa Israel.
We kama ni kondoo uliye potea sawa alitumwa kwako kama bado unasema kuna 1=3 basi we si mfuasi wa Yesu hata siku moja
Mathayo 28:19 Yesu aliwaambia wanafunzi wake: "Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba (1), na la Mwana,(2) na la Roho Mtakatifu" (3) Vipi na nyie why Three imetamalaki katika uislam kutawadha kusema bismillah n.k hadi kusukutua na ukikojaa unatakiwa ukitike uboo mara tatu unauelewa wowote kuhusu tatu? au nikupe elimu a i know huna hiyo elimu am here to help Muslims ask tu usione aibu

Alitumwa yes kwa Kondoo waliopotea wa Israel ila alikuja sema vizuri na Kondoo wengine kasome

Yohana 10:16-18​

16 ;Ninao kondoo wengine ambao si wa zizi hili; nao pia itanibidi niwalete, nao wataisikia sauti yangu. Hivyo patakuwa na kundi moja na mchungaji mmoja. 17 ;Baba yangu ananipenda kwa kuwa ninautoa uhai wangu ili niupate tena. 18; Hakuna mtu atakayeondoa uhai wangu, bali ninautoa mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuuchukua tena. Hii ni amri niliyopo kea kutoka kwa Baba yangu.”

Surah Ali 'Imran - Verse 62
Umechapia ni Al imran 67
Hi Surah pia inakuambia pia Nabii Ibrahim alikuwa Muislam sio kafiri kama nyie wakristo na wayahudi

Surah Ali 'Imran - Verse 95
Mbona umekwepa Quran Al Imran 67 Tafiri halal unaweka Tafsir kibudu hahaha Kwa hiyo Hanif ni Islam?

مَا كَانَ إِبۡرَٰهِيمُ يَهُودِيّٗا وَلَا نَصۡرَانِيّٗا وَلَٰكِن كَانَ حَنِيفٗا مُّسۡلِمٗا وَمَا كَانَ مِنَ ٱلۡمُشۡرِكِينَ
Maa kaana Ibraaheemu Yahoodiyyanw wa laa Nasraa niyyanw wa laakin kaana Haneefam Muslimanw wa maa kaana minal mushrikeen

Sasa unapodai wewe Ibrahim hakuwa Kafir sasa naomba Tafsiri ya Hanif maana Quran inasema Ibrahim alikuwa Hanif inamaa Nyie ni Hanif kuna mwenzako huku siku za nyuma nishamsahau nilimpa fundisho akapotea hakuwa na raha kuitwa Hanif
Verse za Quran zimewekwa na Mjinga japo amecopy kwa wengine tatizo lake alizibadilisha zionekane mpya huku hajui anaharibu wasomi wakizisikia.

Etymology​

The term ḥanīf comes from the Arabic root -n-f meaning "to incline, to decline" or "to turn or bend sideways" from the Syriac root of the different meaning “to deceive, to turn pagan, to lead into paganism”. The Syriac word refers to pagans and deceivers.<a The Arabic is defined as "true believer,
Hi Surah chini inaongelea Bakkah ambayo ni Makkah ndipo pakwenda abudiwa

Surah Ali 'Imran - Verse 96
Hujaacha tu Ujinga unajua Bakka ipo Jordan na sio Makkah historical na kila kitu Mecca karne ya 6 ilikuwa ni jangwa ukitaka debate hii njoo na thread tofauti nikuumbue kila nyanja na imani yako ianguke puuu
Afu mlivyo wajinga hata bibilia zenu zimetaja Makkah ambayo ni Bakkah nyie mnadai karibu na Jerusalem hahahaha uwongo ni mfupi sana mbona hamtuonyeshi wapi kuna kisima cha maji kusicho kauka au lini mlienda kuhiji nyie hapo Bakkah

Bacca
Unajua katika maelezo yote ya Mji wa Bacca na Mecca nini kinachofanana. ? hizi vitu watu wa historia washapitia wakamaliza bora ungeseam Petra jibu hayo ya juu kisha nikupe elimu nzima ya Histora nahisi unahitaji elimu kuhusu miji unadhani waislam na wana zuoni kuzusha Bakka na kuisingizia ndio Mecca wana ujanja wao
The "Bible pilgrim in Baca" refers to the imagery in Psalm 84:5–7, where worshippers traveling to Jerusalem (Zion) pass through a difficult, dry location known as the "Valley of Baca
Kumbuka unawazungumzia Waisrael hahaha
View: https://www.youtube.com/shorts/YyBL4JFG6I8?feature=share

View: https://youtu.be/uozietUble4

View: https://youtu.be/40DclW84HkM

View: https://youtu.be/sOTaNZIa_C4

Sikiliza hizo video upate elimu kisha toa maoni maana wewe wewe unabishia kila kitu
 
Tatizo lenu mnadhani hizi Vita Israel yeye ndie anazitaka japo mna macho ,mna akili,mna ufahamu, kwa kuwa akili zenu ni migando kama samri ni ngumu sana kuwasikiliza sababu mnakuja na rogic za kijinga sana...

Israel anajidefence dhidi ya maadui wake wanaotaka kila siku afutike, na sio jana au leo ni kila siku maadui wanaongezeka ukiwepo wewe am sure zamani haukuwa adui kama ulivyo sasa sababu kuna makundi yanachochea chuki kuanzia kwa watoto wakianza kupata akili tu waichukie Israel.. Nakumbuka sisi tulivyokuwa wadogo tulikuwa tunafundishwa nyimbo za kuwachukia makaburu wa Sauth Africa. but kwa sasa tunaona wausi ndio wabaya kuliko wazungu makaburu.

Wanaoichukia Israel ukiwauliza nini wanaichukia watakuambia Israel inaua Watoto, au maangamizi, hawasomi historia kabisa Israel always inachokozwa na maadui wapya na wa zamani. na kwa miaka hii mtapigwa tu hata kama na wewe hupendi wanavyopiga wait tu njia zote watatumia kuwaangamizeni ukiweko na wewe.

Eti unataka mjeshi aingie kichwa kichwa kwa adui yake. kichcekesho nyie waislam mnapenda uongo na mkishikwa hamkubali umesema Israel imeua viongozi wa Hamas kwa ndege na Drone, nikakupa ushahidi wa Sinwar kapigwa kkwenye combat live, hata Hamas wao wamefurahi kiongozi wao kufa kwenye mpambano.. wewe iblis unakataa.. keep ujinga wako wa msikitini. mtu muongo ni iblis muumbue muda wote maana ni raha kumponda jiwe nyoka.
Sasa IDF kimataifa inajitangaza kuwa na uwezo mkubwa lkn kwenye mikiki mikiki hatuoni zamani wametudanganya operesheni Entebbe nk. Ambazo zipo gizani taarifa ni yao tu

nakupa mfano operesheni ya Hamas ndani ya mipaka feke ya Israel ile 7 October makomando wa Hamas wamevamia kambi 4 za Jeshi la IDF wakatembeza kipondo cha karne !!

wakawateka Wanajeshi wa IDF kibao yani wamebebwa kama gunia za viazi ni mtutu kwa mtutu Dunia wameona sio Wanajeshi wa IDF tu mpaka Makamanda wao wa kambi wamebebwa!!

Mmoja kakutwa na Boxsa tu!!

So makomando wa Hamas walifanikisha operesheni na lengo la operesheni lilifikiwa kwani lengo lao kuu nikutaka kuachiwa wafungwa wao ndani ya Jela za Israel !!

wamefanikiwa tumeona!!

Sasa operesheni za IDF zipo zaidi kitechnology sio kivamizi mfano wanapiga sana eneo kutokea Angani kiasi hakuna kilicho simama ndio wanaenda kutafuta kwenye mabaki mabaki..

So KiDunia operesheni ya Hamas imeonekana ya kikomandoo na kimbinu zaidi,
kishujaaa zaidi!!!

Wkt IDF ya Israel ki Dunia wameonekana nizaifu zaifu zaidi.
Na Dunia imegundua ilidanganywa uwezo wa IDF kupitia media
IDF wadogo sana
Kumbambana ana kwa ana..

Masikitiko
operesheni yao kupitia Anga sio Salama imeuwa watu wengi lkn pia imeuwa raia wao na Wanajeshi wao ndani GAZA yote!!!

Sababu ya IDF kuwa waoga waoga!!!
 
Wapi nimezungumzia Surah Al imran? mie nimekupa Al Maida ushazeeka sana naona unasahau hadi kusoma maandiko yenu. Surah 5:21 ni Al Maidah

Quran imeandikwa na jahil aka Mjinga, mwenye sifa za kurogwa, mbakaji,mwizi,taperi,dhurumaji aliyefanyiwa operation mara mbili na Jibril aliyebeba widom kwenye dishi akapasua kifu chake kisha akajazwa hizo wisdom yaaani ujinga ujinga tu wa Mohammad. mara ngapi nimekufundisha aya muhimu za kuonesha Mungu sio mmoja katika uislam ? na wewe akili zako za ubongo wa panzi?

Hahaha Yesu alisema Mungu ni Baba yake haya na wewe sema Allah ni baba yako, Yesu alisema yeye ni nuru na asiyemfuata yeye atapata uzima wa milele, haha sasa utabaizwa lini maana yeye alibatizwa hahaha, Alisema yeye yumo ndani ya Baba yake na baba yake yupo ndani yake unakubali? Niambie katika aliyosema Yesu wewe unafuata kipi? nimemiss kucheka hahahaha unaamini Yesu akija atakuhukumu? maana Mtume wako anaamini atahukumuwa na Yesu.

Alisema na wayahudi wakataka kumuua au hujui kisa chake? Alisema yeye ni Mungu wakasema amekufuru Before Ibrahim i AM(YHWH) hivi wewe kuna kitu unnafahamu kabisa? Kasome Yohana 5:26 Kama vile Baba alivyo chanzo cha uzima, hali kad halika amemwezesha Mwanae kuwa chanzo cha uzima.

Kisha kasome 2 Yahaya 17:1 nimekupa hilo jia ili upate kuamini Yohana si mnamuita Yahaya.

Katika hii kitu huwa hamsoni yote aya why? Yesu ni Roho ya Allah, Yesu ni Messenger na Yesu ni Neno au mnaogopa maana hivyo ndio sifa kuu ya Allah wenu na Yesu vipo kwake vyote Quran 4:171

Mathayo 28:19 Yesu aliwaambia wanafunzi wake: "Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba (1), na la Mwana,(2) na la Roho Mtakatifu" (3) Vipi na nyie why Three imetamalaki katika uislam kutawadha kusema bismillah n.k hadi kusukutua na ukikojaa unatakiwa ukitike uboo mara tatu unauelewa wowote kuhusu tatu? au nikupe elimu a i know huna hiyo elimu am here to help Muslims ask tu usione aibu

Alitumwa yes kwa Kondoo waliopotea wa Israel ila alikuja sema vizuri na Kondoo wengine kasome

Yohana 10:16-18​

16 ;Ninao kondoo wengine ambao si wa zizi hili; nao pia itanibidi niwalete, nao wataisikia sauti yangu. Hivyo patakuwa na kundi moja na mchungaji mmoja. 17 ;Baba yangu ananipenda kwa kuwa ninautoa uhai wangu ili niupate tena. 18; Hakuna mtu atakayeondoa uhai wangu, bali ninautoa mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuuchukua tena. Hii ni amri niliyopo kea kutoka kwa Baba yangu.”

Umechapia ni Al imran 67

Mbona umekwepa Quran Al Imran 67 Tafiri halal unaweka Tafsir kibudu hahaha Kwa hiyo Hanif ni Islam?

مَا كَانَ إِبۡرَٰهِيمُ يَهُودِيّٗا وَلَا نَصۡرَانِيّٗا وَلَٰكِن كَانَ حَنِيفٗا مُّسۡلِمٗا وَمَا كَانَ مِنَ ٱلۡمُشۡرِكِينَ
Maa kaana Ibraaheemu Yahoodiyyanw wa laa Nasraa niyyanw wa laakin kaana Haneefam Muslimanw wa maa kaana minal mushrikeen

Sasa unapodai wewe Ibrahim hakuwa Kafir sasa naomba Tafsiri ya Hanif maana Quran inasema Ibrahim alikuwa Hanif inamaa Nyie ni Hanif kuna mwenzako huku siku za nyuma nishamsahau nilimpa fundisho akapotea hakuwa na raha kuitwa Hanif
Verse za Quran zimewekwa na Mjinga japo amecopy kwa wengine tatizo lake alizibadilisha zionekane mpya huku hajui anaharibu wasomi wakizisikia.

Etymology​

The term ḥanīf comes from the Arabic root -n-f meaning "to incline, to decline" or "to turn or bend sideways" from the Syriac root of the different meaning “to deceive, to turn pagan, to lead into paganism”. The Syriac word refers to pagans and deceivers.<a The Arabic is defined as "true believer,

Hujaacha tu Ujinga unajua Bakka ipo Jordan na sio Makkah historical na kila kitu Mecca karne ya 6 ilikuwa ni jangwa ukitaka debate hii njoo na thread tofauti nikuumbue kila nyanja na imani yako ianguke puuu

Unajua katika maelezo yote ya Mji wa Bacca na Mecca nini kinachofanana. ? hizi vitu watu wa historia washapitia wakamaliza bora ungeseam Petra jibu hayo ya juu kisha nikupe elimu nzima ya Histora nahisi unahitaji elimu kuhusu miji unadhani waislam na wana zuoni kuzusha Bakka na kuisingizia ndio Mecca wana ujanja wao

Kumbuka unawazungumzia Waisrael hahaha
View: https://www.youtube.com/shorts/YyBL4JFG6I8?feature=share

View: https://youtu.be/uozietUble4

View: https://youtu.be/40DclW84HkM

View: https://youtu.be/sOTaNZIa_C4

Sikiliza hizo video upate elimu kisha toa maoni maana wewe wewe unabishia kila kitu

Kuhusu surah Al Maidah 5 21 we unaelewa ni watu gani wanaitwa Bani Israel hivi Netanyahu ni mjukuu wa Yakobo yule hahaha sa mbona mnapo halalisha utawala wa haramu wa Israel mnatumia Qur'an na Allah kweli nyie machizi
Si huwa unasema Allah sio Mungu

We tatizo lako hufahamu nilicho ongelea mimi hakuna hata Surah moja ya Qur'an inayo kubaliano na wewe kuwa Yesu atakuja tuhukumu siye unless uwe kichaa au huifahamu Qur'an wangapi wamekufa amewahukumu hamjui Qur'an inaongelea nini makenge nyie. Yesu kuitwa Nuru hata Mtume Muhammad pia anaitwa Nuru sababu wameleta ujumbe na muongozo wa Mungu kwetu binadamu.

Yesu Qur'an imethibitisha kisha kufa harudi hizo nyimbo mnazo imba atarudi ni wajinga tu wanao amini wako pia waislam kama nyie na hizo hadithi hazijulikani ni kweli au uwongo

View: https://youtube.com/shorts/K25zfVhT-Jc?si=US71xOjY4AxVLwYa

Mimi namini Qur'an tu hadithi unless iwe inakubaliana na Qur'an ndio nitaiamini wapi Qur'an imesema Yesu atarudi duniani

Kuhusu Bacca hakuna bonde katika ardhi linaloitwa Baka (au Bakkah) ambalo lina nyumba ya ibada na chemchemi ya maji (Zamzam), ambayo sala moja ni bora kuliko sala elfu inayosaliwa popote pengine haya tuonyesheni nyie wakristo wapi mnaenda kuhiji na kuna sifa hizo hahahaha mnapindisha ukweli wakati ukweli upo wazi kabisa ni Makkah tu.

View: https://youtu.be/YxZ3Wxm_c5Q?si=rGtj8AOT_GzOqvX_

Hio tafsiri ya Hanif au Hanifan sio Haneefam hi tafsiri yako lazima umeitoa kwenye tafsiri ya makenge au wajinga kama wewe

Hanif au Hanifan ni mtu mwenye kuamini Mungu ni mmoja tu sio mshirikana mwenye kudai 1=3

Eti Yesu alimuita Mungu baba hivi unajua yeye kakusudia ni kumuita baba, hata mimi Yesu kaniambia Mungu ni Baba yangu pia na wewe pia ni baba yako hahaha Yesu aliposema; Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu” (Yohana 20:17)
 
Back
Top Bottom