MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 6,546
- 11,655
Hezbollah, waliishiaga wapi? Hawa watu iliaminishwa ni hatari kuliko Hamas
Wapo, waliomuua kiongozi wao ni US si Israel... Israel hawana ndege yenye uwezo wa kubeba bunker buster nzito.Hezbollah, waliishiaga wapi? Hawa watu liaminishwa ni hatari kuliko Hamas
Hao Hezbollah na machawa wao kwa propaganda na taarabu wapo vizuri mno, ila kwa ground ni hakuna kituHezbollah, waliishiaga wapi? Hawa watu liaminishwa ni hatari kuliko Hamas
Wenyewe wanamuita kiboko wa Makobazi. Wafuga ndevu za wakimsikia wanakula wima.😄Hezbollah, waliishiaga wapi? Hawa watu liaminishwa ni hatari kuliko Hamas
Hezbollah bado ipo na ina ushawishi Lebanon. Kushindwa battle haimaanishi ndio kimeshindwa VITA. Ni kama Venezuela tu wameteka kiongozi ila uongozi wote uliobaki bado upo intact na maisha yanaendelea.Hezbollah, waliishiaga wapi? Hawa watu liaminishwa ni hatari kuliko Hamas
😂 Kelele zote hizi n kuonyesha Israel sio kitu sio chochote na hapo hapo makobaz kila mwaka mnasema mtamfuta Israel kwenye uso wa dunia Lkn mpaka sasa mnapasuliwa vilivyo 😂Wapo, waliomuua kiongozi wao ni US si Israel... Israel hawana ndege yenye uwezo wa kubeba bunker buster nzito.
Jeshi la Israel lilishindwa kuingia Lebanon. walipambana wakadhiitiwa na Hezbollah.
Yote na yote wapo vizuri sana, kupambana na nchi kama Israel ikisaidiwa na US hata TPDF iungane na KDF na UPDF hawana uwezo kupambana na IDF inayopewa msaada wa kila aina toka US na Magharibi.
Sasa kobaz unalia nn?Mzayuni ni tegemezi wa msaada wa US
Na ikitokea Raisi wa US Kama ilivyo Trump Yukon poa kutoa mabilioni ya hela ya silaha, mzayuni ataonekane ni mshindi kila siku
Ikitokea Kama ilivyotokea 2006 wakati wa Bush,hakuwapa senti ya msaada, walikula kipondo
Kwa sasa wamekaa kwa adabu baada ya Israel kufyeka uongozi karibia wote. Nusrallah aliamini msaada kutoka Iran na kujijichimbia kwenye mahandaki kungemsaidia. Lile bomu lilikata hadi pete aliyokuwa amevaa kwenye kidole.Wapo, waliomuua kiongozi wao ni US si Israel... Israel hawana ndege yenye uwezo wa kubeba bunker buster nzito.
Jeshi la Israel lilishindwa kuingia Lebanon. walipambana wakadhiitiwa na Hezbollah.
Yote na yote wapo vizuri sana, kupambana na nchi kama Israel ikisaidiwa na US hata TPDF iungane na KDF na UPDF hawana uwezo kupambana na IDF inayopewa msaada wa kila aina toka US na Magharibi.
Yaani anguko la Hezbollah inabidi lifanyiwe utafiti, sababu jamaa sasa hivi hawarushi hata jiwe na kila siku wanabondwaUkisikia mikwara ya Makobazi kabla ya kipondo unaweza kuachana, Israel kaishawajulia anawatwanga tu
Ujinga mtupu unaandika hapa!!!!Wapo, waliomuua kiongozi wao ni US si Israel... Israel hawana ndege yenye uwezo wa kubeba bunker buster nzito.
Jeshi la Israel lilishindwa kuingia Lebanon. walipambana wakadhiitiwa na Hezbollah.
Yote na yote wapo vizuri sana, kupambana na nchi kama Israel ikisaidiwa na US hata TPDF iungane na KDF na UPDF hawana uwezo kupambana na IDF inayopewa msaada wa kila aina toka US na Magharibi.
Hivi allah ameshindwa kuifuta Israel?!😁😁Sasa kobaz unalia nn?
C na nyie Mtafute tegemezi ili mumuondoe Israel kwenye uso wa dunia 😂
Israel ndio muarobaini wa magaidi ya kidiniKwa sasa wamekaa kwa adabu baada ya Israel kufyeka uongozi karibia wote. Nusrallah aliamini msaada kutoka Iran na kujijichimbia kwenye mahandaki kungemsaidia. Lile bomu lilikata hadi pete aliyokuwa amevaa kwenye kidole.
Huyo alishashindwa na hawezi Hana uwezo wa kuifuta Israel!!Hivi allah ameshindwa kuifuta Israel?!😁😁