Hezbollah waanza kutoroka Kusini baada ya kuhofia mashambulizi ya IDF

Hakuwa gaidi alizinguana na jiwe alikula b kadhaa za jiwe Kisha akagoma kuunga juhudi alimzunguka jiwe.
Thus ilikuwa kesi ya kubumba ushaidi wa kubumba
Basi ndio ilivyokwa Hamas. Waislamu wote duniani tunaamini Hamas sio magaidi. Baadhi ya wakiristo wachache na mayahudi na mabeberu wenye maslahi yao wanaona hamas ni magaidi.

Sawa sawa na mbowe na hao unaosema
 
Sifa ya kuwa gaidi ni kumwaga damu hamas wanazo
 
Hezbullah amkimbie Israel ๐Ÿ˜„

Hivi Israel anauwezo gani wakupigana vita na Hezbullah labda akavunje majumba na mashule na Hospital, lakini safari hi atavunjiwa yeye kula kitu na Hezbullah mimi nataka Israel ajaribu piga hospital Lebanon ndio atajichimbia kaburi lake safari hi mwenyewe.
Kuna wenzako huko wanasema Hamas na Hezbollah yalianzishwa na U.S.A ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Wamehofia kwamba IDF inafanya mpango wa kuwavamia, mpaka sasa wamepoteza wapiganaji 123

Hezbollah has begun withdrawing its special Radwan forces from southern Lebanon over the weekend, amid fears over a surprise IDF attack and escalation of the conflict in Israel's northern border, according to Israeli media.
post
The IDF received intelligence suggesting that Hezbollah forces were partially moved from Lebanon's south to its north, mostly due to the high number of casualties suffered by the Lebanese terror organization since October 8, when it started targeting northern Israeli border towns in the wake of the October 7 massacre.

At least 123 Hezbollah terrorists have been killed by IDF precision strikes along the Lebanese border in two months, the terrorist organization said on Saturday.
source jewish post...emu jiheshimu japo kidogo mtoa mada.
 
Nimecheka sana eti Hezbollah kakimbia wakati wanataka vita huyu punguani uwa anachofikiria yeye anapost na bahati mbaya JF majinga mengi wanakubali tu๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜„ Israel si kama America mdomo mwingi si walisema mwanzo Israel, Hezbullah akigusa Israel atashughulikwa na America, badaye Hezbullah akampiga hatukuona America na hizo navy carries kafanya lolote, Nasurlah alimsha wambia America hizo carries zao haziwatishi.

Sijuzi juzi tu hapa America kamtisha Yemen na coalition zao sijui Bahrain, Canada, France, Italy, UK and other countries naona America kambembeleza Oman awakutanishe na Al Hout wa Yemen hapo Muscat na America anaongea kwa adabu chezea Yemen.

Afu Oman unawatakia nini kuwapatanisha, si America alijidai mbabe? Ungemuwacha atiwe adabu na Myemen.
 
Hivi vita tumejua vitu vingi sana kuhusu Marekani na Israel mikwala tu nakuonea wanyonge vita hawewezi kabisa.
 
ISRAEL ana maadui wengi kweli kweli cha kushangaza hawammalizi hata..
 
ISRAEL ana maadui wengi kweli kweli cha kushangaza hawammalizi hata..
๐Ÿ˜„ ndio sababu huoni America, Canada, Ukraine, India, Honduras, France, Italy, Spain, Salvador, Ethiopia, South Sudan, badhi ya wakenya na watanzania wanapigana wote hao na Hamasi tu sa wataisha vipi ๐Ÿ˜„

Afu pia nchi za kiarabu zinamsaidia Israel kuzuia kuingiza chakula Gaza na bado tu Hamasi anawamaliza kila siku 16 to 40 sijui tumeisha wamaliza wangapi? Hebu mpigien Netanyahu awe mkweli atupe figure anaogopea nini kusema numbers mdomo unakuwa kama kala ubwabwa wa moto umembabua ulimi ๐Ÿ˜„
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom