ELI COHEN hebu msogeze dada wa watu karibu apige picha na hiyo ndinga 😁Watembea kwa miguu tunapita kama tunaaga maiti
ELI COHEN hebu msogeze dada wa watu karibu apige picha na hiyo ndinga 😁Watembea kwa miguu tunapita kama tunaaga maiti
😂😂😂😂ELI COHEN hebu msogeze dada wa watu karibu apige picha na hiyo ndinga 😁
Siku nikinunua baiskel usiniombe lift 🤣🤣Hakuna namna 😂😂
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Pickup nazozikubali
Kuna Hilux Revo Rocco
View attachment 3470561
Kuna Ranger Raptor
View attachment 3470562
Kuna mtu kazi Ram 2500
View attachment 3470569
Kwa kazi yangu hii uongo! 🤣Ni kazi tu , hakuna namnna mkuu 😂
Vale Nafaka super woman nembo yetu ya Taifa.Anayo yule muuza Nafaka
Bahati mbaya ni kwamba huwa sipendi mali za watu, hata niking'ang'ania halitakuwa langu so ntapambana nikanunue yangu mwenyewe🫠 kuwa na amani na gari yako kama unayo kweli😂😂😂😂
Ataning'ang'ania huyu, namjua waifu material vizuri😂
Mh! Sitaki vya watu mieELI COHEN hebu msogeze dada wa watu karibu apige picha na hiyo ndinga 😁
Bahati mbaya ni kwamba huwa sipendi mali za watu, hata niking'ang'ania halitakuwa langu so ntapambana nikanunue yangu mwenyewe🫠 kuwa na amani na gari yako kama unayo kweli
Ila pia ilikuwa ni utani tu.Mh! Sitaki vya watu mie
OkIla pia ilikuwa ni utani tu.
PLEASE DONT TAKE IT PERSONAL 🙏🏻