1) Tofauti na FB, unachobandika humu hakitokei kama 'status'.
2) Hili ni jukwaa la utani/vichekesho, siyo pahala pa besdei!
3) Kuna jukwaa linaitwa 'Member intro', ingia humo, bisha hodi kisha mengine mengi yatafuta.
4) Unapoingia siyo lazima wala muhimu kuchangia chochote; soma, tafakari, cheka, kasirika, vyovyote mchango wako unathaminiwa