ladyfurahia JF-Expert Member May 10, 2011 14,699 9,462 Oct 26, 2011 #1 Hodi wenye nyumba wa hii room hajambo wote niko poa nataraji vituz toka kwenu nilikuwa bize kwa mihangaiko sasa nipo nanyi twende pamoja humu rooms
Hodi wenye nyumba wa hii room hajambo wote niko poa nataraji vituz toka kwenu nilikuwa bize kwa mihangaiko sasa nipo nanyi twende pamoja humu rooms
Sizinga Platinum Member Oct 30, 2007 9,101 6,027 Oct 27, 2011 #11 Vp umeandaa Pilau na mikate tule, tushibe tusherehekee ujio wako?? hahaa, warmly welcome
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Jan 19, 2010 6,829 1,296 Oct 27, 2011 #12 ladyfurahia said: nawaalika wote Click to expand... wapi huko twaalikwa? nway...........karibu ladyfurahia
ladyfurahia said: nawaalika wote Click to expand... wapi huko twaalikwa? nway...........karibu ladyfurahia