Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Fuatilia Madame KH, kusanya rekodi zako zote za kuwaonyesha kwamba huna deni nao au siku za usoni wanaweza kabisa kukuadhiri. Nimeliona jina la Madame KH 🙂🙂
BAK,
Najitahidi kufuatilia...Asante. Umeliona eeh...🙂 Nakuambia hawa wananifanya mimi nionekane tapeli..sio haki kabisa!