Aen Urner
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 358
- 351
Samahan mkuu hivi boom linatolewa awamu ngapi kwa mwaka,?Hivi boom ni sh ngapi per day siku hizi? Enzi zile nasoma tulikuwa tunalamba Tsh 2,500 per day. Maisha yalikuwa magumu kweli. Sasa hapo utakula nini uache nini, na hata kama una mchumba utamuhudumiaje kwa kutumia boom . Heri yenu watoto wa siku hizi mnapokea pesa ndefu, na hii inadhihirisha uchumi umekua hadi mifukoni mwa wanafunzi wa elimu ya juu...