HESLB yapiga Ramli

kuna mtu nimemuangalizia, hapa naona kwenye application status yake inamwambia a print complete form, then hamna status ya kuonesha kuwa she is secured or not.
ukifungua tu, bonyeza neno la kwanza mkono wako wa kushoto pameandikwa LOAN ALLOCATION 2017/18

LIPO CHINI YA NENO NAVIGATION

UNATUMIA KIFAA GANI KUANGALIZIA?
 
Me nmeliwa meals na accomodation tuh!!!!! nyengne najitegemea kama field practical amd training au????
 
Hawo ni waliopata udahili chuo kimoja.
Je sisi ambao tumepata udahili vyuo viwili na zaidi, na hatuna option ya kuconfirm ni chuo kipi tutaenda si tutakuwa tumefanyiwa fitina????
Udsm walitoa list yao ya approved selectio na wakasema waliopo kwenye listi hii hawana haja ya kuconfirm,
mzumbe nawo wakajakutoa approved selection tarehe 16/10.
Mbona bodi wanaweka vikwazo ambavyo ni unreasonable!
 
IMG_20171019_004352_331.JPG
 
View attachment 611862 Thanks God!
kwa ambae aliomba mkopo kitu tayari huko HESLB
Hivi boom ni sh ngapi per day siku hizi? Enzi zile nasoma tulikuwa tunalamba Tsh 2,500 per day. Maisha yalikuwa magumu kweli. Sasa hapo utakula nini uache nini, na hata kama una mchumba utamuhudumiaje kwa kutumia boom :D:D:D. Heri yenu watoto wa siku hizi mnapokea pesa ndefu, na hii inadhihirisha uchumi umekua hadi mifukoni mwa wanafunzi wa elimu ya juu...
 
Back
Top Bottom