nchekie s.0561.0045.2011
s.1744.0148.2011
s.0388.0116.2011
wote hawajapata
nchekie s.0561.0045.2011
s.1744.0148.2011
s.0388.0116.2011
Inategemea...kwa mfano HESLB wanaakulipia 70% afu ada ni mil 1 kwa mwaka, basi iyo laki 7 ambayo ni 70% inalipwa na HESLB moja kwa moja..Sasa wewe utaamua iyo laki 3 iliyobaki ulipie kwa semister 1 yani laki 1 na nusu afu seemister ya 2 unamalizia laki 1 na nusu tena....AU KAMA UNALIPIWA 100% na HESLB basi wewe kulipa ada HAKUKUHUSU.
wote hawajapata
wakuu heslb watatoa awamu zingine au ndo mwisho?
Hivi wale wa awamu ya kwanza mmeshaingiziwa pesa kwenye akaunti zenu?
Tupia namba nifanye yng chapu...
The student with Index number 'S0316.0033.2006' did not secure a higher education loan for 2015/16 academic year in the FIRST & SECOND LOTS of allocations.s0316.0033.2006 furaha andrea nimechaguliwa bacherol of education in early childhood education naomba uniangalizie
msaada s2537.0179.2012
Name:MAGANGA, GODFREY CIndex Number:S2537.0179.2012Institution:UDOM(CIVE)Course:BSTEYear of Study:1
Loan Breakdown
Meals and Accommodation (MA)2,082,500Books And Stationary (BS)200,000Field Practical and Trainings (FPT)480,000Tuition Fee1,280,000Research0Special Faculty Requirements (SFR)50,000TOTAL AMOUNT4,092,500
Yaan non priority wamekula mikopo kuliko watu wa priority
Mkuu mbona me sujui chochote kuhusu acc inakuaje hapa?