HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

Nmefauli vzuri..nmefuata masharti yoote ya kupata mkopo..nmechagua course ambayo ni priority.. Nmechagua chuo cha kumbu kumbu ya mwalimu nyerere,chuo hiki huwa kinaangaliwa kwa macho yoote wengi wanao soma hapo huwa wanabatka kupata mkopo. Sasa mwaka huu sijui imekuaje yaani plan A B C zote chalii..Swali lots ndo zmeisha au kuna awamu nyngne.. Msaada tafadhali
 
MASWALI KWA HESLB
Wanasema kuna waombaji wawe watulivu huku hawaelez uo utulivu uwe mioyoni mwa wanafunz kwa siku ngapi watueleze ayo majina 9,253/= yanatoka lini? na watueleze ao wanafunzi 19,884/= wenye mapungufu ni mapungufu ya aina gani ? Na kwanini wasitahalifiwe ili waende kulekebisha ayo mapungufu yao? Maana waombaji ni wanafunzi wasiopungua 70000
 
Bachelor of Logistics and Transport Management ni priority lakin mi sjapata na ni yatima jameni sasa sjui hata nafanyaje mi nafuaz Serikali itimize wajibu wake
Watoto wa kifukara tunasota tutakufa kwa mawazo

50000 kuomba chuo
30000 kuomba mkopo
Hako kapesa
Nlilima majaruba pale buhongwa nkakapata asa duuh ndoto yangu hyooo imekatika
 
Bachelor of Logistics and Transport Management ni priority lakin mi sjapata na ni yatima jameni sasa sjui hata nafanyaje mi nafuaz Serikali itimize wajibu wake
Watoto wa kifukara tunasota tutakufa kwa mawazo

50000 kuomba chuo
30000 kuomba mkopo
Hako kapesa
Nlilima majaruba pale buhongwa nkakapata asa duuh ndoto yangu hyooo imekatika

Wengine tunaishi mbali na internet cafe hivyo ilikuwa inatubidi kutmia nauli pamoja na gharama za kulipia kwenye hzo internet cafe,pia usisahau kuna siku zngine mtandao ulikuwa unasumbua inakubidi ulale mjini(guest) jumlisha chakula,halafu kesho yake mtandao unakubali vzur ila umeme unakata..yaan unachkua siku nne ukiwa unafanya application TCU na loanboard..Halafu mwisho wa siku unakosa Mkopo unashndwa kwenda chuo,huku ukiwa hujui mwakani itakuwaje kuhusu maswala ya CHUO..Kwa kweli inauma sana na inakasirisha.
 
hi guys. wakubwa shkamooni. watoto hamjambo.
namshkuru Mungu mimi ni mfaidika wa mkopo nauliza inachukua mda gani boom kuingia kwenye acount zetu. ni account gani ni lazima kufungua? he naweza pewa hela yote pamoja na fee kwa account yangu?
nimepewa tuition fee kidogo balaa vipi naweza appeal waniongezee? he kuna madhara wasije kuninyima moja kwa moja?
kwa wenzetu ambao mambo hayajakaa poa Mtangulizeni Mungu kwani yeye hamtupi mja wake. love to you all guys.
asubuh njema ntafrah kwa msaada wenu.
 
+Baada ya siku chache tu mtapewa form za boom, mtajaza account number na kusign then mtasubiri km siku 3 hivi, mzigo utakua ushaingia.

+kama hujafungua acc fungua crdb ni bora zaidi

+Tution fee hawaingizi kwenye account yako mkuu
 
niangalie S0232/0035/2012

Name : PHILIDOLINI, DIANA
Index Number : S0232.0035.2012
Institution : UDSM(COHU)
Course : BAED
Year of Study : 1
Loan Breakdown

Meals and Accommodation (MA) 2,099,500
Books And Stationary (BS) 200,000
Field Practical and Trainings (FPT) 620,000
Tuition Fee 780,000
Research 0
Special Faculty Requirements (SFR) 0
TOTAL AMOUNT 3,699,500
-->
 
hivi kwenye mkopo ukapewa meals and accomodation,stationary,tution fees afu field,reseach hujapewa! inakuwaje wakat wa field hupew hela??
 
Name : PHILIDOLINI, DIANA
Index Number : S0232.0035.2012
Institution : UDSM(COHU)
Course : BAED
Year of Study : 1
Loan Breakdown

Meals and Accommodation (MA) 2,099,500
Books And Stationary (BS) 200,000
Field Practical and Trainings (FPT) 620,000
Tuition Fee 780,000
Research 0
Special Faculty Requirements (SFR) 0
TOTAL AMOUNT 3,699,500
-->

nchekie s.0561.0045.2011
s.1744.0148.2011
s.0388.0116.2011
 
Back
Top Bottom