sameerkhan
Member
- Nov 5, 2015
- 97
- 34
kazi ipo mwaka huu mmmmhhhh
Asante ya nini wakati ni wajibu wa serikali kufanya hayo na mengine mengi kwenu, ndo maana wenzetu wakenya wameendelea akienda dukani anasema nataka sio naomba
Habar z hum ndan wapendwa? Naomba mniangalizie km nmept mkopo; S1051/0021/2004
Ningekua na uwezo wa kufuta thread yako ningeifuta tu!
asante ya nini wakati ni wajibu wa serikali kufanya hayo na mengine mengi kwenu, ndo maana wenzetu wakenya wameendelea akienda dukani anasema nataka sio naomba
thenx JESUS alxo vivaaaaaa........ my president maguri
umetumia reason sana..kitendo cha lowassakuwaambia wafananishe serikali aliyotaka kuiunda yeye na serikali ya mhe.magufuli..lengo lake ni kutimiza lengo la elimu bure yaani kuondoa michango yote shuleni na higher education wapewe 100% loan
Kumetokea aina Fulani ya ubaguzi kwa walioomba Mikopo kwa sifa ya diploma kwani asilimia kubwa yetu hatujapata Mikopo na dalili zilizopo ni kwamba tunaweza kupigwa chini kwa wao kuimagine tayari tutakuwa kazini kwahiyo tutaweza kajilipia,kwahiyo nashauri tuunganishe mawazo ni kivipi tutapeleka kilio chetu kisikike kwa Bodi ya Mikopo ili wasitupuuzie,uongozi wa udsm umekaza mpaka Leo mikopo wengi wamepata sasa sisi tukikaa kimya haitatusaidia.
weka Namba nikuunge kundi la whatsap tujadili.
Kweli kabisa ata mimi nipo pamoja nawe woteeeeee tuliotokea diploma kwa washkaj ninaowajua hakua aliye pata mkopo ata mmoja 0763251440-duttu
Shukrani iliyotolewa hapo sio kwa shuruti..
Kwani mtu hawezi kukutendea jambo ambalo ni haki yako na ukamshukuru...?Kwa mfano wajibu wa mzazi ni kuhakikisha watoto na wanafamilia wengine wanapata mahitaji ya muhimu kama chakula, mavazi n.k...... Vipi watoto hawapaswi kumshukuru mama au baba yao kisa ni wajibu wao kuwatimizia..?
Embu turudisheni ule Utanzania wa awali jamani.
Shukrani haikupunguzii kitu.
wakenya wameendelea?...wakenya wameendelea...
wakenya wameendelea?