HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

Kama ni kweli ni jambo zuri sana na ndiyo maana ya Upinzani, mimi binafsi napenda Raisi atoke bado CCM ila tuwe na upinzani mzuri na wenye tija kwa sababu bado naamini kabisa kwamba hakuna Chama cha Upinzani kilichokuwa tayari KUONGOZA TanZania!

Hivyo litakuwa ni jambo jema kama Upinzani wana uwezo wa kuisimamia serikali na kuhakikisha haiwi lege lege!

Una akili sana mkuu
 
Hongera JPM, ahsante JK kutuondolea ugonjwa wa fedha kutuchagulia viongozi. Tumekutukana sana lakini kwa hili la kuruhusu akili zetu na si fedha za wachache nani awe mbele yetu historia itakukumbuka. Shukrani zangu pia kwa mzee Mkapa na Mzee Ali Hassan Mwinyi mlitanguliza nchi kuliko rafiki zenu. Nakupenda nchi yangu Tanzania na nina fahari kuzaliwa na kuishi Tanzania. Hapa kazi tu.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    45.1 KB · Views: 191
  • image.jpg
    image.jpg
    44.6 KB · Views: 172
Mungu mkubwa na amani sana moyon nimepata bum. sasa n msuli wa maana naomba uzima ee baba niweze kukitumia vyema kipawa ulicho nipa baba pia mbariki baba yetu Magufuli kwa kazi njem anayoifanya
 
Mungu mkubwa na amani sana moyon nimepata bum. sasa n msuli wa maana naomba uzima ee baba niweze kukitumia vyema kipawa ulicho nipa baba pia mbariki baba yetu Magufuli kwa kazi njem anayoifanya wajalie na wenzetu ambao hawajfanikiwa.
 
Mungu mkubwa na amani sana moyon nimepata bum. sasa n msuli wa maana naomba uzima ee baba niweze kukitumia vyema kipawa ulicho nipa baba pia mbariki baba yetu Magufuli kwa kazi njem anayoifanya

but kumbuka kuna watu bado hawajapata pia.
Let we get concerned.
Lakini isiwe one celebrating while the other is in toment.
 
msaada wadau, maana wengine tumekosa kwenye lot zote mbili,, kwa anaejua vipi kunaweza kuwa na lot ya 3 au ndio final??
 
refer tamko la daruso kuhusu mikopo,juzi aise viongozi hao wako makini wamepigana na kufanya kweli Heslb wametoa majina ndani ya Siku 3.
 
Back
Top Bottom