HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

mkuu usikufuru maisha hayafanani kutoka mtu na mtu usione mtu kamaliza form 4, 2005 mpaka leo hajaenda chuo,,maisha siyo rahisi hivyo
 
naomben msaada jaman nimefany transfer na mkop wang nimeandikwa chuo nilikohama nifanyeje
 
Za shughuri wadau.
Naomba msaada kuhusu hawa wanao omba higher diploma katika institute/collage of education kama vile PATANDI,wakiomba mikopo wanapewa nao?
 
hivi nyie mnazungumza vitu gani?? wakati wanaotakiwa kupata mkopo ni watu 58,000 sasa mpaka sasa ni watu 40500,,je hao wanaobakia inakuaje
 
naomben msaada jaman nimefany transfer na mkop wang nimeandikwa chuo nilikohama nifanyeje

Nenda tcu kwanza watakudirect.loan board ila.had kupata mkopo.wako itachukua muda wa semester 1 maana kuna memorandum of understanding kat ya bod na vyuo kua pesa.ikashaenda inachukua miez mi2 kama sio mi3 inarud bodi.afu wana ialocate upya...hata mie nshawah kufanya hivyo mkopo wangu wa kwanza nilipata april 1,550,000 maboom ma3
 
Back
Top Bottom