HESLB WANAKOTUPELEKA 1x1=11 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HESLB WANAKOTUPELEKA 1x1=11

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by King Kalu G, Aug 27, 2012.

 1. K

  King Kalu G Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inatakiwa ifike wakat selikali itambue kuwa inapeleka elimu pabaya kutokana na vipaumbele(priority) wanavyoweka ili watu wapate mkopo na hiyo imepelekea wa2 wachague kozi ambazo hawana vipaji nazo na hiyo itampelekea m2 asifanye kaz kwa moyo wote kwa nini mctof kidogo kwa kla m2 ili m2 axome anachotaka
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  mkisoma masomo laini laini na mambo yenu inabidi ya chukuliwe kilainilaini....
   
Loading...