HESLB: Sheria-mpya!

mods please i flush kunakohusika hii kitu ya hawa madogo wakichina maana haitusaidii hapa kwenye siasa...

Kwani wewe siasa unaielewa vipi? Mambo ya East Africa unaona sio siasa? Usijiingize kwenye kundi la mambumbumbu tafadhali.
 
Kwani wewe siasa unaielewa vipi? Mambo ya East Africa unaona sio siasa? Usijiingize kwenye kundi la mambumbumbu tafadhali.

Yaani hizo minutes za mambo ya kula kula wewe ndiyo unaona muhimu watu tupoteze muda tuanze kujadili?We jinga kweli.
 
Admin,naomba uifute hii topic,huyu jamaa anafanya sasa watu wote wa China tuonekane watoto.Nimeongea na mwenyekiti amesema hata jamii forum hajakanyaga so jamaa ametunga id kama ya mwenyekiti ili avute mass,ni utoto mtupu,jila huyu jamaa siku zake ni 40.

tik tak tik...
 
jamani huyo si mwenyekiti,ni mtoa hoja anataka kubadili mada.kashamchamba mwenyekiti na sasa anataka kuamishia huku.NARUDIA HUYU SI MWENYEKITI,wana JF musipoteze muda.
 
jamani huyo si mwenyekiti,ni mtoa hoja anataka kubadili mada.kashamchamba mwenyekiti na sasa anataka kuamishia huku.NARUDIA HUYU SI MWENYEKITI,wana JF musipoteze muda.

Duh... Poleni sana...hii thread ingepelekwa kwenye JOKES... Duh... Nimecheka sana... Mimi siku zote naona neno HESLB: Sheria -mpya! naona watu wapo serious kumbe ni choko mchokoe pweza... Mmmh! Haya MODS ipelekeni kwenye jokes Haaaa haa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....
 
Back
Top Bottom