HESLB: Sheria-mpya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HESLB: Sheria-mpya!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Luther, Feb 19, 2010.

 1. L

  Luther Member

  #1
  Feb 19, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi, kuna afisa wa ubalozi wetu huko uchina huwatumia(vijana wetu)email ya kuwataka wajiandikishe katika tovuti ya ubalozi huo,na asiyefanya hivyo akikosa mkopo asipige kelele.

  Sasa wazee wenzangu,nijuzeni hii sheria mpya ya bodi ya mikopo inayoruhusu vijana wetu kukosa mkopo,kwa kushindwa kujiandisha katika tovuti ya ubalozi wao?

  Nimerejea form na makaratasi yote ya sheria za kupewa mkopo sijaona sheria hii.Je hii yatoka wapi?
   
 2. Magpie

  Magpie Member

  #2
  Feb 19, 2010
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tatizo lako ndugu wewe sio mlengwa wa hiyo e mail na isitoshe hakutaka kujua contents ya hiyo mail nafikiri,..na bado unakurupuka na kutaka kuanzisha zogo lisilo na maana,..Board kupitia sheria yake no 9, 2004 (as amended) inaruhusiwa kuanzisha net-working and cooperation links with Institutions and organizations be they Government or non Governmental, local, foreign or International, ili kurahisisha utekelezaji wa shughuli zake, S. 6(h) of the Act, na pia S. 7 (h) ina power za "kudetermine other criteria and conditions governing the granting of students loans ..."

  ivyo basi board imeamu kuanzisha operational links na ubalozi wa Tanzania china ilikusaidia wanafunzi wa KiTz china kupata mikopo kwa urahisi n on time,..nafikiri ubalozi kama agent wa board ilikutekeleza majukumu yao kama walivyo ombwa na board wameanza kuanzisha data base yao ilikupata wanfunzi kamili waliopo china.
   
 3. L

  Luther Member

  #3
  Feb 19, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  100% unakurupuka wewe kijakazi wao.
   
 4. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,624
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Mbona ungetumia lugha ya upole kueleza unayoyajua ungeheshimika sana kuliko lugha hii uliyoiweka hapa?

  Hata kama wewe ni boss HESLB bado sisi hatuhitaji kufahamu hilo. wewe lete msaada wako.
   
 5. Magpie

  Magpie Member

  #5
  Feb 19, 2010
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kumradhi waungwana kwa kusound that way....
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,400
  Likes Received: 2,022
  Trophy Points: 280
  Best ungejibu kwa upole hakuna haja ya kuwa wakali badae tutalifanya janvi hili kuwa la ajabu. Mawazo ya mtu yaheshimiwe bora tu kukosoana kwa upole!
   
 7. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,375
  Likes Received: 1,519
  Trophy Points: 280
  Kama alivyojibu hapo mkuu

  Ni kweli ni mahala pengi ambapo mwanafunzi anahitaji kutambuliwa na ubalozi kabla ya kupata mkopo.
  Maana Balozi ndiye mwenye kutambuwa kwa karibu zaidi mhusika ni mwanafunzi na je shule aliyonayo ni halali ama vipi?

  Ugaibuni kuna shule nyingi feki sana, tena serikali inabidi kuliangalia hilo kwa makini sana.
   
 8. Mtabiri

  Mtabiri Senior Member

  #8
  Feb 19, 2010
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama ubalozi wenu umeamua mjiandikishe online nafikiri hiyo ni rahisi zaidi kwenu mkuu. Otherwise wangewaambia msafiri kutoka miji yote ya huko China kwenu mpaka uliko ubalozi kwa lengo la kujiandikisha,hapo ndio ingekua mzozo.
  Kujiandikisha kama haina malipo mengine sioni kama ni kazi. Ni vizuri sana kuwa na kumbukumbu zako ubalozini kwako uwapo nje ya nchi za watu mkuu. Hiyo ya ya kupata loan ni moja wapo maana,nafikiri,badala ya loan board kuverify kwenye shule kama ni kweli upo huko unasoma wao wanacheki na ubalozi wako tu. Hata kama ukipatwa na matatizo au issue ya furaha inakua easy sana kukupata kupitia ubalozi.
  Mimi nafikiri ni wazo zuri kujiandikisha ubalozi, naamini inaserve mambo mengi zaidi ya hiyo mikopo tu. Haya ni majibu yangu,kama kuna wahusika na wana kitu tofauti please tuelewesheni maana hapa JF tunapeana mwanga na sio kushindana au kuoneshana ubabe.
   
 9. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kuna umuhimu wa kujiandikisha kwenye ubalozi huko na siyo vinginenevyo
   
 10. Mtabiri

  Mtabiri Senior Member

  #10
  Feb 19, 2010
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Taratibu mkuu, punguza ukali wa maneno umweleweshe mwenzio.
   
 11. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2010
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Luther,

  Huo ndio utaratibu unaotumika hata kwa nchi zingine.

  Naona utaratibu huo una faida nyingi kuliko hasara. Kama unasoma nje ya nchi ni ngumu sana kufuatilia haki zako kutoka TZ. Kama masuala yenu yanashughulikiwa na ubalozi kwa pamoja huwa inakuwa ni faida.

  Kama wewe ni mwanafunzi, nakushauri jiandikishe na huenda ikawa rahisi kushughulikia kuliko ukiamua kufuata utaratibu mwingine.
   
 12. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,765
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Wewe umepewa mkopo na Serikali na ni jukumu lako kufuata maelekezo unayopewa na wanaokupatia fweza za walipa kodi ili uelimike, hizi porojo za chakubanga sio mahali pake hapa. Kama hutaki kujiandikisha tafuta fweza za kwako na usije kulalamika hapa ukafikiri wote ni akina chaku.
   
 13. J

  Jews4ever Member

  #13
  Feb 19, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umetumwa?
   
 14. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,765
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Ndio unasemaje kaka/dada/shemeji etc? Khe khe kheeeeeeeeeeeee
   
 15. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,765
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Hilo ndio umeona la maana au siyo?

  Kama hufahamu Mtanzania yoyote anapokuwa nje ya Tanzania ni sheria lazima ajiandikishe kwenye ubalozi sasa kama usipojiandikisha ukipata matatizo hayo ni ya kwako. Sasa kama wewe ni mwanafunzi unaogopa nini kujiandikisha on top of that unapewa fweza za walipa kodi you must be a complete i@di@ot kukataa kujiandikisha.
   
 16. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #16
  Feb 19, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,765
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Huna sababu ya kutoa matusi weka points unafahamu hapa JF tatizo kubwa utafungiwa then unaanza kulialia kimanga weka points mkuu hapa ni hoja ndio yenye nguvu sio matusi. Upo hapo?

  Bila kusahau tuliwasaidia sana wanafunzi kule Ukraine walipopata matatizo kupitia kwa Mwanakijiji na swala hilo lilielekea kwa EL wakati ule na kukataa kujibu maswali kwa kusema anakula etc. kwa hiyo unapoleta hoja hapa usifikiri sisi ni kina Chaku nishakwambia hapo awali lete points mkuu sio majungu.
   
 17. L

  Lukwangule Senior Member

  #17
  Feb 19, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  |Ha ha ha kumbe watu lugha ya kuelewesha huwa gomba lakini ya kuuliz ahaigombi ha ha ha ukienda nje ukitaka chapchap ya msaada ubalozi wako ndio penyewe, balozi zinatumika kama ajenti waulize wanafunzi wa cuba wakuhabarishe bila ubalozi noma hawana fedha manake jinsi ya kuzipeleka Cuba jasho kinoma ha ha ha
   
 18. L

  Luther Member

  #18
  Feb 19, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naam,asanduni kwa michango yenu kwenye kijinotebook changu.
   
 19. L

  Luther Member

  #19
  Feb 19, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natoka,tuoanane wiki 3 zijazo...
  Ushauri:
  Acheni kushabikia msivyovijua undani wake.

  Anyway ujumbe umemfikia mlengwa mkuu.
   
 20. Mtabiri

  Mtabiri Senior Member

  #20
  Feb 19, 2010
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwenye red hapo mkuu.
  Unatutisha tusimsaidie au unamaana gani? Huyo dada/kaka kaomba kueleweshwa sasa wewe unaposema stay away na watu kama hawa unatumia mamlaka gani humu JF? Unanishawishi kuamini wewe ni mwanafunzi fake huko China. Wanafunzi wa kweli hua wanasaidiana na kueleweshana,walau kwa hapa bongo. Au ndivyo mnavyoburuza wanafunzi wenzenu wasifikirie huko China na kuwafanya washindwe hata kuulizana wao kwa wao? Nafikiri kitendo cha mtu kuuliza inamaana anakubali hajui sasa acha wanaojua watoe msaada,wala huna haja ya kuwatishia eti stay away na watu kama hawa!.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...