Heslb second around

witacha matiku

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
678
126
ikiwa wanafunzi 1,121 waliofanya marekebisho mbalimbali wakisubiri kwa hamu kujua nini kitajili ila kutoka jikoni ni kuwa watatoa baada ya siku 3 (tatu) kikubwa ni kuomba sana Mungu ili afanikishe hili ,,,,,,,,,2.note;watanzania tumekuwa na tabia ya kujuana kwnye raha mfano kuna watu ambao awali hawakuwa na mkopo lakini kupitia movement mbalimbali kuna baadhi wakawa wanapewa na wengine kwa umbali wao hawakushiriki ktk movement za kudai huo mkopo ila waliokuwa wanaendesha movement hizi wakawa wanaleta taarifa humu jamvn na hata wengine wakatoa mobile phone kwa mawasiliano zaidi cha ajabu ktk harakati kuna watu wakapewa na hata kuangalziwa kama amepewa anatuma index number kwa kuhitaji msaada lakini akishafanikisha hakuna cha shukrani wala hata kupiga simu kujua wenzake wamefikia wapi hata awape mchango wa mawazo ilo ni tatizo"tunajuana kwa vilemba" hii tabia ni wazi iko kwa akina dada hasa hasa akiwa ameshikwa ndio utaona comment humu jamvn ila kama hana shida hatoi hata comment;angalizo tubadilike jamani
 
Mkuu na wewe ni kati ya waliojiunga na elimu ya juu mwaka huu??
sory, rekebisha heading.. ni "second round" sio "around"
 
ikiwa wanafunzi 1,121 waliofanya marekebisho mbalimbali wakisubiri kwa hamu kujua nini kitajili ila kutoka jikoni ni kuwa watatoa baada ya siku 3 (tatu) kikubwa ni kuomba sana Mungu ili afanikishe hili ,,,,,,,,,2.note;watanzania tumekuwa na tabia ya kujuana kwnye raha mfano kuna watu ambao awali hawakuwa na mkopo lakini kupitia movement mbalimbali kuna baadhi wakawa wanapewa na wengine kwa umbali wao hawakushiriki ktk movement za kudai huo mkopo ila waliokuwa wanaendesha movement hizi wakawa wanaleta taarifa humu jamvn na hata wengine wakatoa mobile phone kwa mawasiliano zaidi cha ajabu ktk harakati kuna watu wakapewa na hata kuangalziwa kama amepewa anatuma index number kwa kuhitaji msaada lakini akishafanikisha hakuna cha shukrani wala hata kupiga simu kujua wenzake wamefikia wapi hata awape mchango wa mawazo ilo ni tatizo"tunajuana kwa vilemba" hii tabia ni wazi iko kwa akina dada hasa hasa akiwa ameshikwa ndio utaona comment humu jamvn ila kama hana shida hatoi hata comment;angalizo tubadilike jamani

Mkuu tumekusikia tukifanikiwa tutakujuza usijali sote tu wahanga na janga la mikopo, more stress upon us, mungu awabaliki nyote mlioomba mkopo.kama ni mmoja wa wenye kusubili Sema Ameen, your Ameen is very powerfull to our creator.
 
UTANZANIA ukiutafsiri kwa kina utaelewa kusaidiana kwa kila hali kupo ndani yake,, sasa kunacriticism zisizo za maana hasa kwa wanaojita wasomi,, tafadhali tuungane jamaani, dosari ndogo hazikuwai kushindwa kutokea maana HAKUNA mkamilifu,,
 
MTAPATA TU THIS ROUND...WATUMISHI WENGI TUMEANZA KUKATWA MISHAHARA YETU KULIPIA LOAN BOARD naona hizo ndizo zilizotumika kutoa mkopo kwa waliokosa mwanzo
 
Back
Top Bottom