mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,910
- 18,558
Inashangaza kuona kuwa heslb walitoa nafasi ya wiki moja tu ya kukata rufaa, lakini wao zinakaribia kumalizikia wiki mbili sasa bado wako kimya kuhusu matokeo ya rufaa za watu. Kama hakuna aliyefanikiwa basi waseme maana muda umekwenda sana.