HESLB: Orodha ya Majina ya Waliopata Mkopo (Awamu ya Kwanza) 2016/17

Daaahhh inanikumbusha yale ya TUNISIA serikali haina dira watu wako kwenyematamko na maigizo. Hatuwezi kuishi kishetani kwnye nchi iliojaa asali na maziwa. Hv hawa bodi walikuwa wapi mda wote kufanya upembuzi yakinifu na kupanga kiasi cha mkopo ambacho mwanafunzi anahitaji kupata. Sasa ni bora wale waliokuwepo mara kwanza ambao tulioaminishwa wanaiba lakin wanafunzi walipewa mikopo kwa wakati. Eti wametoa majina ya udsm tuuu mbona SAUTI, MUM, MWENGE, SUA Wameshafungua? Nchi inaelekea wapi? Maigizo na Sanaa yanatufikisha wapi? Utawala huu unaweza kuingia kwenye historia ya utawala wa kihuni, kifisadi na kiupigaji kwani sasa hv ukiuliza tuu unaambiwa mchochezi.Eti bodi majina 7000 tu ndo yako tayari, hv hawa bodi wanaakili kweli? Ingekuwa China sasa hv familia zao zingekuwa kwenye mcba mzito? Bodi isilete mchezo katika maisha ya wanafunzi masikini ambao mpaka sasa hawajui hatma yao
Sema bongo unaeza jipiga kiberiti af wana wasirespond wala nn.....wakakausha tuuuuu
 
idadi ya wanafunzi waliopata mikopo ni ndogo sana. serikali imejitoa ghafla kudhamini elimu. uchumi wa wananchi wengi ni duni, ni waajiriwa tu wana uwezo wa kulipa ada na gharama za kusomesha watoto chuo kikuu. matokeo yake vyuo vingi vitakosa wanafunzi. haitakuwa ajabu kuona vyuo binafsi vikifungwa.
 
ivi ukiambiwa " You have Not Secured Loan" kuna haja kweli ya kumiza kichwa kusubiri mkopo kweli...
 
Habari za mchana wakuu kuna hili suala la mikopo naona watu wengi haswa vijana wanaotegemea kwenda chuo wanalalamika mi binafsi sioni sababu ya kufanya hivyo kwakuwa haya ni matokeo ya kuichagua CCM wapinzani waliwaambia elimu itakuwa bure kwa maana ya bure hawa waliopo madarakani hata kwa kuwakopesheni tu wamechemka poleni sana
 
Wale wa mwaka wa kwanza tuliopata mkopo tukutane hapa kwani nasikia majina yameshaletwa
 
Brothers and Sisters mie niko allocated for loan ila nahitaji kujua asilimia nilizopewa nifanye nini,ili niweze ona?
 
Hongera zenu mliopata,mlikosa Mungu yuko nanyi msikate taamaa nasi hatukupata ila tukamaliza chuo ivo ivo kibishi sa hivi maisha yanaenda fresh tuu
 
Back
Top Bottom