HESLB: Orodha ya Majina ya Waliopata Mkopo (Awamu ya Kwanza) 2016/17

guyz muwe mnaelewa na hii nchi yetu yaan hayo majina ni ya udsm coz wenyewe chuo j3 na nyie mnao log in kwenye account zenu mnajisumbua hamtakuta kitu mtajitia presha tu coz server ya Tanzania iko COSTECH tu pale sayansi na watumiaj ni weng then hamna wajuz wa it utakuja ku log in ukute na mambo ya tcu kwenye account yako ya HESLB majina yatakuwa released kidogo kidogo kulingana na ufunguaji wa chuo sasa wewe kama umepangiwa white university tulia tu mpaka tar 20 hiv btw THIS IS TANZANIA
 
Screen Shot 2016-10-15 at 10.10.47.png


Hawataki ujinga kabisa
 
Habarini ndugu zangu .....kati ya majna ya mikopo yaliotoka kwenye chuo cha UDSM sijaliona jina langu ....swali ni je aya majina ndo wameishia apo au watayaongeza maana ata nusu ya wanachuo hayajafika???...nauliza kwa chuo cha UDSM kwanza
 
The list is completed ..if your name is out of the list ..find an alternative way..naweza kukusaidia kukupa process za kuappeal ..kwan umechaguliwa course gan??
 
Soma kwanza barua hii kwa makini kabla hujakata rufaa. Isije ikawa hujatimiza masharti au unakwenda kusoma Historia au Kiswahili
60db36c3cc94d6d19bfdbacf265940ae.jpg
 
The list is completed ..if your name is out of the list ..find an alternative way..naweza kukusaidia kukupa process za kuappeal ..kwan umechaguliwa course gan??
Yani we jamaa... Full kuvunja mioyo ya watu.. Sijui ukoje
 
Back
Top Bottom