Acha kazi ukuje huku tufanye business. Utaendelea kunyonywa mpaka lini?Wakuu Eid Mubaraka. Hakika mwezi huu umekuwa mgumu kwa sisi wafanyakazi, bodi ya mikopo inafyeka mpaka mtu unakosa ufanye nini. Tunaomba mheshimiwa raisi uturudishie ile asilimia angalau tuweze kumudu maisha, kiasi tunachokatwa ni kikubwa mno. Tutaishije?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wewe ulipata mimba ukashindwa kuendelea shule. hujui chochote kuhusu Makato ya bodi ya mkopo
LHRC walipeleka kesi mahakamani imeishia wapi?Wakuu Eid Mubaraka. Hakika mwezi huu umekuwa mgumu kwa sisi wafanyakazi, bodi ya mikopo inafyeka mpaka mtu unakosa ufanye nini. Tunaomba mheshimiwa raisi uturudishie ile asilimia angalau tuweze kumudu maisha, kiasi tunachokatwa ni kikubwa mno. Tutaishije?
Na Gwiji la sheria Tundu Lissu wa TLS tehe teheLHRC walipeleka kesi mahakamani imeishia wapi?
Usinitafutie ban.
nenda kanyonyeshe
Ahsante ila kwa kweli haya maisha yamekuwa magumu
Princessteh Namngoja mzee wako aje anyonye mkuu
aisee wanakata balaa
Unapoongea hebu punguza mihemko. Hakuana anayekataa kulipa, lakini tatizo ni kuingia mkataba mwingine alafu ikija kwenye malipo serikali inabadili gia angani na kuvunja mkataba wa awali na kuleta mkataba mpya ambao sio rafiki kwa mlipaji.Dawa ya deni ni kulipa. .
Kipindi bumu linaingia ilikuwa miguu juu full
Kula bata. Saiv mnagumia maumivu tuu
Yaani hii nchi kila kitu ni kukurupuka, mtu kajisomesha mwenyewe kwa shida alafu ghafla bodi bila hata haya wanamkata!! Au ndio pesa za elimu bure zinatafutwa kwa nguvu!!!Mbaya zaidi wanabambika watu madeni, unakuta umejisomesha mwenyewe kwa shida, halafu unakuta mshahara wako 15% haipo ukifuatilia unaambiwa bodi...mpaka ukomai irudi sio leo mateso...saa nyingine upo mkoani uende mpaka dar? garama tena... Hawa watu ni kwa nini wakati wa kuomba mkopo unajaza mkataba lakini wakati wa kukata watumishi hawaangalii mkataba wa mtu aliyejaza ndiye akatwe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na Gwiji la sheria Tundu Lissu wa TLS tehe tehe