HESLB: Lot ya sita inatoka lini?

Naona neema imeshika, watusahau tena kwa makusudi sasa. Bodi imeongezewa fedha na srrikali
 
Bodi ya mkopo kwa wanafunzi wanaboa sana unakuta watoto ya tima na walemavu wananyimwa mkopo
Kwakweli hawa wafanya kazi wa dodi hii wamechoka kazi, Magufuli anajitahidi sana kukusanya hela kwa majizi lakini wao bado wanabania hela hadi kwa mayatima na walemavu
Magufuli naomba ulitambue hili maana yote uliyoyaadini kwa yatima na walemavu bodi ya mkopo ndo inawaonea sana hao watu, Rais wetu MAGUFULI liangalie hili
 
Mi juzi nimesikia taarifa ya habari ikisema wanafunzi woote walioomba Mkopo 2015/16 wamepewa pasipo kuangalia kozi zao,nikastuka kidogo watu tunaumia huku bila Mkopo na kozi uliyochaguliwa ni priority. INAUMIZA SANA
 
Lot ya 6 IPO nje, nadhani kwa wale waliomeet kigezo cha graduation ya 2012 watakua wamepata sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…