HESLB kuna nini?

City Rider

JF-Expert Member
Jul 31, 2022
403
1,210
Nipo na Bwana mdogo mmoja mtoto wa mkulima amekata tamaa ya kuendelea na First year pale IFM sababu status yake inaonyesha hajawa verified na RITA akiingia RITA kila kitu kiko sawa.

Nimemshauri afike BODI YA MIKOPO na cheti chake verified lakini amevunjwa moyo kuwa kwa mwaka huu haitawezekana.

Swali kwenu HESLB: Inawezekanaje mtu ashindwe kupewa mkopo sababu ya small errors kwenye cheti cha RITA ? Na kama errors zimetokea kwenu inakuaje mnakatisha ambitions za kijana mdogo kama huyu, Ina maana hakuna room kabisa ya kurekebisha application yake? Mwisho nimeumizwa sana.

Kuna mtu mwingine mwenye changamoto hii?
 
Kama upo dsm nenda naye pale bodi mtafute Mr Francis chief Excutive wa Helsb I hope utasaidiwa easily
 
Nipo na Bwana mdogo mmoja mtoto wa mkulima amekata tamaa ya kuendelea na First year pale IFM sababu status yake inaonyesha hajawa verified na RITA akiingia RITA kila kitu kiko sawa.

Nimemshauri afike BODI YA MIKOPO na cheti chake verified lakini amevunjwa moyo kuwa kwa mwaka huu haitawezekana.

Swali kwenu HESLB: Inawezekanaje mtu ashindwe kupewa mkopo sababu ya small errors kwenye cheti cha RITA ? Na kama errors zimetokea kwenu inakuaje mnakatisha ambitions za kijana mdogo kama huyu, Ina maana hakuna room kabisa ya kurekebisha application yake? Mwisho nimeumizwa sana.

Kuna mtu mwingine mwenye changamoto hii?
Mshauri aende ofisini....atasaidiwa fasta .....coz wale jamaa wapo kwaajili ya hiyo kazi.....kila muhitaji apate
 
Back
Top Bottom