ushahidi wa unachokiongea upo wpi.....acha kupanic broooWewe Umepata Mkopo Unalalamika Unakwamishwa Na Waliokosa Je?Wasemaje Wanaujumiwa?
Kwanza Kama Vipi Natoa Masaa 3 Pekee Kwa Bodi Ya Mikopo Itengue Majina Yote Ya Wanufaika Wa Mikopo Awamu Ya Kwanza Na Yapitiwe Upya Kunamijitu Mule Mama Zao Maafisa Elimu Na Baba Zao Miwaziri Alafu Imepewa Na Watoto Wa Mamantilie Wamekosa Aiwezekani Wakichelewa Kutengua Mimi Ntachana Makalatasi Ya Majina Yote
Hii kitu ilitokeaga 2016 majina ya batch yote ya kwanza yalifutwaaaa kwa madai kwamba wamepewa watu ambao sio, soo subililin chochote kinaweza tokea kwa hii nchi ya maguuWewe Umepata Mkopo Unalalamika Unakwamishwa Na Waliokosa Je?Wasemaje Wanaujumiwa?
Kwanza Kama Vipi Natoa Masaa 3 Pekee Kwa Bodi Ya Mikopo Itengue Majina Yote Ya Wanufaika Wa Mikopo Awamu Ya Kwanza Na Yapitiwe Upya Kunamijitu Mule Mama Zao Maafisa Elimu Na Baba Zao Miwaziri Alafu Imepewa Na Watoto Wa Mamantilie Wamekosa Aiwezekani Wakichelewa Kutengua Mimi Ntachana Makalatasi Ya Majina Yote
Hii kitu ilitokeaga 2016 majina ya batch yote ya kwanza yalifutwaaaa kwa madai kwamba wamepewa watu ambao sio, soo subililin chochote kinaweza tokea kwa hii nchi ya maguu hahhhh God knows
Kwa sababu nimeona hata waliomaliza 1996 fom four wamepata mkopo, hayo majina ninawasi wasi nayoo
Kuna MTU kamaliza 1996 kapata mkopo???Hii kitu ilitokeaga 2016 majina ya batch yote ya kwanza yalifutwaaaa kwa madai kwamba wamepewa watu ambao sio, soo subililin chochote kinaweza tokea kwa hii nchi ya maguu
Kwa sababu nimeona hata waliomaliza 1996 fom four wamepata mkopo, hayo majina ninawasi wasi nayoo
wala Cjapanic Nimeandika 2 Kuonesha Uonevu Unaoendelea Uktaka Ushaidi Njo Gheto Nkuonesheushahidi wa unachokiongea upo wpi.....acha kupanic brooo
Noted! but jaribu kuwa na akili yenye manufaa ....co mambo ya gheto yann .....et mara 96 ...how sure are na ata ukitaitishwa hapo gheto utakua na vivid evidence plus document johwala Cjapanic Nimeandika 2 Kuonesha Uonevu Unaoendelea Uktaka Ushaidi Njo Gheto Nkuoneshe
You are my fan for sure,, maana huwezi kuwa unanifuatilia hivi.Hili boom umelipania sana mkuu ila nikwambie kitu ile pesa ni ndogo sana halafu inakuaga na kilaana fulani hivi. Kuwa makini nayo sana, chuo si A-level eti kuna chakula cha shule.
Boom kuongezeka rasmi tarehe 30/10/2018 - JamiiForums
Form six kamaliza lini??Hii kitu ilitokeaga 2016 majina ya batch yote ya kwanza yalifutwaaaa kwa madai kwamba wamepewa watu ambao sio, soo subililin chochote kinaweza tokea kwa hii nchi ya maguu
Kwa sababu nimeona hata waliomaliza 1996 fom four wamepata mkopo, hayo majina ninawasi wasi nayoo
tatizo Ilo Tatizo Tumelisi Wa Tz Wengi Kila Kitu Unaisi Unadanganywa Nkikupa Uo Ushaidi Utaufanyia Nn Wenye Mamlaka Wameshabaliki Aisaidii KituNoted! but jaribu kuwa na akili yenye manufaa ....co mambo ya gheto yann .....et mara 96 ...how sure are na ata ukitaitishwa hapo gheto utakua na vivid evidence plus document joh
Kueni wavumilivu vijana...haraka haraka haina baraka...Daah kwa yoyote alikua huko karibu na walipo helsb waende kuulzia kuna nini ili atu update tuwe waz maan ni kama tumefumbwa machoo
brother,sio kama tuna haraka ila,tunafanya hivi kujiandaa mapema tu,kwa sababu nasikia unaweza kupata tuition fee 0%,ukapata boom tu sasa hiyo nusu ada ya kulipa muda wa kuripoti ni kubwa,sasa mfano mimi wazazi wangu hawawezi kuamka usiku mmoja na kupata pesa hizo,ni bora helsb wajiangalie watoe allocation hizo ili mtu ajiandae kuongezea pesaKueni wavumilivu vijana...haraka haraka haina baraka...
Well said bro wengne pesa mpk tuchangiwe ndo tuweze kulipa ikichelewesh hv tutaumia sanabrother,sio kama tuna haraka ila,tunafanya hivi kujiandaa mapema tu,kwa sababu nasikia unaweza kupata tuition fee 0%,ukapata boom tu sasa hiyo nusu ada ya kulipa muda wa kuripoti ni kubwa,sasa mfano mimi wazazi wangu hawawezi kuamka usiku mmoja na kupata pesa hizo,ni bora helsb wajiangalie watoe allocation hizo ili mtu ajiandae kuongezea pesa
dah! ndio hivyo brother,mambo ni magumu kwelikweli wakati mwaka jana walipeqa allication majina yalipotoka tu! Sasa mwaka huu maeneo yote ni presha tu,sio necta,sio tcu na sio bodi ya mikopo!Well said bro wengne pesa mpk tuchangiwe ndo tuweze kulipa ikichelewesh hv tutaumia sana
Daah yan n vurugu tupu kama upo karbu nenda kaauliziee helsbdah! ndio hivyo brother,mambo ni magumu kwelikweli wakati mwaka jana walipeqa allication majina yalipotoka tu! Sasa mwaka huu maeneo yote ni presha tu,sio necta,sio tcu na sio bodi ya mikopo!
. Da kweli npo Katav huku halafu nao heslb na urasimuDaah yan n vurugu tupu kama upo karbu nenda kaauliziee helsb