Rashidi7
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 612
- 212
Habari!! Kama kichwa cha uzi kinavyosema hapo, juu ..Board ya mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya juu ni siku ya sita leo tangu kutangazwa kwa wanufaika wa mikopo kwa awamu ya kwanza, bado hakuna chochote kwenye account zetu, kiasi kwamba mlala hoi kama mimi hajui hatma yake japo kaona jina lake.. Kama kuna mtu anajua forum au page ya jamaa anifikishie ujumbe wangu au anipe jina la page yao, sitaki namba wala email kwa sababu hata ukituma malalamiko kupitia huko zitapuuziwa ila kwenye page kuna uzito maana watu wengi wataona.
Asante.
Asante.