Yetu Sote
Member
- Jan 23, 2013
- 54
- 9
Mimi ni miongoni mwa eligible applicants wanaosubiri awamu ya tatu ya mkopo kwa 2015/2026 ambae pia ni continuing student.Ninaomba kujuzwa na WAHUSIKA WA BODI(naamini wamo humu JF) au mtu yeyote mwenye taarifa za uhakaika,NI LINI 3rd LOT itatoka?
Natanguliza shukrani.
.......>>>>>>>>>>>
Jana nimepost nikihoji LOT 3 itatoka lini imetoka baada ya kuangalia still.............The student with Index number 'S0204.0045.2011' did not secure a higher education loan for 2015/16 academic year in the Lots 1, 2 & 3 (New) of allocations.Nimeishiwa nguvu,nimekata tamaa naomba sasa WAHUSIKA WA BODI wajitokeze hadharani na waruhusu maswali ya moja kwa moja.Chuo kimefunguliwa tangu trh 9 NOV 2015 na wenzangu wamekwisha anza masomo.