Sio kucheza tu wanaharibu kabisa future ya mtu na maisha kwa ujumla!ujue hawa bodi ya mikopo wanacheza na maisha ya watu
<br />Dah! Mwenyewe najiuliza,ila labda tusubiri tar 20 ndo walisema watakaa heslb,wizara ya elimu na wawakilishi wa waliokosa mkopo,alafu ndo watasema kitu.