HESLB 15% +January

Northern Lights

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
395
358
Kama mimi ambaye sijaoa na sina watoto wa kuhudumia naumia kiasi hiki. Siwapatii picha wenye familia+wazazi +ndugu na jamaa.

Hivi serikali/HESLB hawajui watu waliowakopesha wengi wao walikuwa ni watoto wa maskini? Sina mengi zaidi ya kuomba wanasheria mtusaidie katika hili.
HSLB 15% HAIKUBALIKI
 
Ni maumivu kwa kweli mwalimu wa diploma atakua na maisha mazuri kuliko wa degree only in tanzania
 
Back
Top Bottom