Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,761
- 15,577
Material create God is LOVE, Mungu ni pendo.
Mapenzi ni hisia kama huna hisia njoo tukuombee.
Kuna story nimeitoa kwenye maandiko matakatifu ikieleza Mwanamke ni nani kwa Mwanaume.
Palikuwa na watu wawili katika mji mmoja; mmoja wao alikuwa tajiri, wa pili maskini. Yule tajiri alikuwa na kondoo na ng’ombe wengi sana, bali yule maskini hakuwa na kitu, ila mwana kondoo mmoja, mdogo, ambaye amemnunua na kumlea, naye akakua pamoja naye, na pamoja na wanawe; hula sehemu ya posho lake, na kukinywea kikombe chake, na kulala kifuani mwake, akawa kwake kama binti.
Hata msafiri mmoja akamfikilia yule tajiri, naye akaacha kutwaa mmoja wa kondoo zake mwenyewe au mmoja wa ng’ombe zake mwenyewe, ili kumwandalia yule msafiri aliyemfikilia, bali alimnyang’anya yule maskini mwana-kondoo wake, akamwandalia yule mtu aliyemfikilia.
Unafikiri kosa au uwovu wa Tajiri ni mkubwa kiasi gani?
Kondoo (Mfugo)- Mwanamke.
Msafiri - Nyege zinazompata mwanaume mara kwa mara.
Wanaume tunawapenda sana mabinti jamani hisia zetu hazielezeki, life without sex to us ni kama maisha bila kula yani ni kushinda njaa.
Sasa Mwanaume, Tafuta Kondoo wako mmoja mtiifu atakaye lidhika na chakula unacho mpa (pesa) alafu ishigi ukikamua maziwa kwa huyo.
Kama malisho unayo ya kutosha ni sawa tu kuwa na mifugo mingi, unakamua maziwa tofauti tofauti upendako.
Lakini kwa hali za wengi nahitaji kondoo mmoja tu atakayenitii na kunisikiliza asiyesimanga na kukodolea macho wengine wanalishwa nini na yeye atake kunenepa haraka kama wale.
Sasa wanaume tusiwe wajinga na wazinifu wa kuiba kondoo wa wenyewe,
Poleni wote mnaolisha kondoo mmoja mkiwa wengi kisha mnapimiwa maziwa kila mtu kidogo kidogo.
Nina neno moja dada zangu
Acheni ujuaji watiini mabwana zenu ulikosea kuchagua coz kichwani huna akili moyoni huna Mungu basi pole yako na pambana na hali yako. Kuwa makini maziwa na uzazi huisha.
Jitunze huku subira, utulivu na unyenyekevu iwe siraha yako.
Be blessed.