Heshima!!!!!!

2my

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2010
Posts
287
Reaction score
7
Mtoto kaona nyeti ya baba yake, Akauliza "nini hii"? Baba,akajibu "ni Heshima", kesho yake wakaja wageni, baba akamwambia mtoto, "toa heshima kwa wageni", mtoto akatoa Nyeti yake, akaonesha, wageni wakashangaa! mtoto akasema "mnashangaa haka kadogo, baba anayo heshima kubwaaa......!
 
Duh!! ahahaahaha,nimejifunza kitu mzazi.
 
Duh! hawa watoto wa .com ni balaa!
 
hehe hapo sasa wageni wameshikwa ganzi
 

Mwanangu hii noma!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…