sijui NIKUTUKANE
uje na unga wako
Kama inavyosomeka hapo juu, natumaini nitapata ushirikiano wa kutosha kutoka kwenu. Asante
sijui NIKUTUKANE
Mombaboy karibu sana ila hilo jina lako tu nalitafakari . Mombaboy
Asante sana mkuu... But kwanini unalitafakari???
Karibu sana bana. Ila next time ujue wanaume wanajitambulisha jukwaa la siasa kule, huku tunakaribisha wapendwa(ke) tu. Itifaki izingatiwe tafadhali (whatever the hell that means).
Asante mkuu ugeni ndo tatizo si unajua tena mtoto halaumiwi kwa kuzaliwa uchi
Kama inavyosomeka hapo juu, natumaini nitapata ushirikiano wa kutosha kutoka kwenu. Asante
Asante mkuu ugeni ndo tatizo si unajua tena mtoto halaumiwi kwa kuzaliwa uchi
teh teh teh...dogo we mzaramo,mndenge?