Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,590 Reaction score 28,761 Jul 19, 2013 #2 Dah leo hii picha imekula airtime sana hapa jamvini...mbona ya zamani sana???
N nyuki dume JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 435 Reaction score 34 Jul 19, 2013 #3 Hizi ndizo heshima za wanawake wa kinyasa kwa watu wanaheshimu kama vile heshima kwa mwanamke wa kisukuma kupiga magoti
Hizi ndizo heshima za wanawake wa kinyasa kwa watu wanaheshimu kama vile heshima kwa mwanamke wa kisukuma kupiga magoti
N nkongu ndasu JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 22,532 Reaction score 6,628 Jul 19, 2013 #4 Hivo ndo inapaswa iwe, sio mwanamke kwa vile ana madaraka, ndo kila kitu juu!
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jul 19, 2013 #5 Bora tu sikuzaliwa kwenye mila hizo maana nisingeweza...lol