Nimekaa siku ishirini safarini,halafu sijachochora,nikirudi nakuja na energy drinks,na paracetamol akisema amechoka nampa energy drink,akisema kichwa kinauma nampa paracetamol.mkuu huyu jamaa amekiaibisha chama chako pendwa..nikidhani chama hiki husaidia kuondokana na kesi za kihivi...kama jamaa angepiga kimoja cha mkono hakungezuka mtafaruku...
Eti uchovuSababu ya Mke kukataa ilikuwa ni Ipi?
Popote tu penye joto na gizahata kwenye shimo la panya??
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Popote tu penye joto na giza
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekaa siku ishirini safarini,halafu sijachochora,nikirudi nakuja na energy drinks,na paracetamol akisema amechoka nampa energy drink,akisema kichwa kinauma nampa paracetamol.
SAWA KABISA TAKE DOUBLE CABIN KIELEWEKENajiuliza mwenyewe alimpiga bila kujua sababu za kumnyima k nazani kulikuwa na sababu apo alipaswa kusikiliza!!
unaanzaje kumnyima mumeo wa ndoa haki yake bila kuwa na sababu za msingi?kama unasababu sawa na ziwe za msingi na unapaswa kueleza kwa mumeo tena kwa nidhamu na utii sio juujuu tu utaambulia makofi lazima!!
WAKATI MWINGINE KUWA NA WAKE WAWILI KAMA INAMAANA AKIZINGUA UYU UNA KWENDA KULE
shimo la panya pia ni sehem