OK,ngoja nikipakue halafu nianze kukisoma taratibu.Wacha uvivu wa kusoma, vijana mnashindwa kupanuwa "knowldege" yenu kwa uvivu wa kujisomea.
Hicho kitabu ni kidogo sana.
HaswaaaaMwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe
Tatizo ni kanuni za kuoa na kuolewa wengi hawazifuati, walio wengi wanaingia kwenye ndoa kwasababu kuu mbiliMtumishi naomba kuuliza swali, hivi kwanini ndoa za siku hizi zimekuwa ni kama kupasha moto kuporo? Kwa maana unakuta kabla ya watu kuanza kuchangisha michango ya harusi wanakuwa wameshaishi muda mrefu na wameshakuwa na watoto kama si mtoto. Tatizo liko wako Mtumishi?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Kinacho mtoa mke kwao na kuhamia kwa mume ni kwamba ameufuata MUHOGO. Mengine yooooooote ni mbwembwe tu.
Wengi wenu humu mumekuwa mkisema mapenzi ni pesa. Siyo kweli mapenzi ni "show ya kufa mtu". Ndiyo maana wake za matajiri wana megwa na mashamba boy.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Sawa tu mtumishi umesema kweli tu......hata huku streets tunafahamu RESPECT ndiyo nguzo mkuu
Bila RESPECT ni uzushi mtupu.
Sema wewe umeongelea "kichungaji-chungaji" zaidi, watu wa mtaa wanaweza kudhani unaleta "upendo wa kilokole".
Nimeona watu wengi si kwenye ndoa tu, hata sehemu za kazi, mahusianao yanayumba kwasababu hakuna RESPECT.
Nikioa nitamheshimu sana mamito aisee.
Respect continually [emoji111]
Kweli wewe mwelewaSawa tu mtumishi umesema kweli tu......hata huku streets tunafahamu RESPECT ndiyo nguzo mkuu
Bila RESPECT ni uzushi mtupu.
Sema wewe umeongelea "kichungaji-chungaji" zaidi, watu wa mtaa wanaweza kudhani unaleta "upendo wa kilokole".
Nimeona watu wengi si kwenye ndoa tu, hata sehemu za kazi, mahusianao yanayumba kwasababu hakuna RESPECT.
Nikioa nitamheshimu sana mamito aisee.
Respect continually [emoji111]
Vivyo hivyo kwa mwanaume mpumbavuMwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe
Ndoa na iheshimiwe na watu woteVivyo hivyo kwa mwanaume mpumbavu
Ndoa ni makubaliano ya mtu mume na mtu mke kuishi pamoja kama mume na mke kwa maisha yao yote, na makubaliano hayo ni lazima yatambulike au yatambuliwe kisheria ili kupata baraka za ndoa hoyo sawa sawa na mlivyoitambulisha. AhsanteNdoa ni nini...maana wengine wametoleana mahari huu mwaka wa kumi huu...!hawana viapo vya mskitini wala kanisani
Ukitaka mwanamke akuheshimu kwanza unatakiwa Umpende.FF ufafanuzi tafadhali...
Unyumba wa kubabia-babia ndo ukoje?