Heshima ya Majaji Tanzania imeshuka kwasababu ya kuteuliwa kisiasa majaji wa zamani walikuwa kati wa watu wanao heshimiwa Tanzania
Jaji Nyalali
Jaji Munuo
Jaji Chipeta
Jaji Chuwa
Jaji Mrosso
Jaji Chande
Jaji Ramadhani
Jaji Warioba
Muhula wa mwisho wa Kikwete mpaka sasa wamekuja majaji wanaoteuliwa kisiasa na kuwa machawa. Kezi za Lissu na Chadema zinaonyesha wazi tuna mahakama za aina gani na majaji ambao ni machawa