Cjaelewa yaan nithaman imepanda...? Au ni upungufu uliyopo wa fedha nchini ndyo ukionekana na jero upewe heshima....? Ndugu kaa ukijua ya kwamba scarcity of money aiwezi ata ckumoja kupandisha thamani ya pesa ya nchi flan ladha kuwepo na scarcity ya fedha za ndani then dolla iwepo nyingi watu wawe wananunua fedha za ndani hapo ndyo thamani ya pesa itapanda bt kwa usawa huu uchumi utadorora... Lakini cjakuelewa kwenye mada yako