Heshima ya Jina la Noti za Tanzania kurejea tena vinywani mwa-wanaNzengo wa Tanzania...!

Shagiguku

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
406
225
Ndugu zangu wanaNzengo wa Tanzania popote pale mlipo duniani, hiviii hii hapa noti weye unaiitagaje....!!!???

Je, unaiitaga "JERO...!!!? au Mia Tano..!!!???

Kwa usawa huu wa NGOSHA lazima hadhi na heshima ya noti hii itarudi kuitwa kwa jina lakwe halisi...!

Chezea NGOSHA weyeeee...!

Siku hizi hakuna cha nipe jero wala buku hapa, kwa wale walizoea kusema wana "wekundu wa msimbazi" wa kutosha, sasa heshima mtaaani inarudi

Kila pesa itaitwa kwa jina lakwe halisi kwa awamu hii ya tano...!

Kudadaaada ...!!!

IMG_20161228_120702.jpg
IMG_20161228_120345.jpg
 

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
10,635
2,000
sijui una manisha nini heshima maana ya thamani au?? -na kama thamani ya pesa ni kukosekana na pesa kwenye mzunguko zaidi na inavyotakiwa huu ni uwendawazimu
 

bily

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
8,040
2,000
Maskini akipata kidogo anataka ata wale wakati waishi maisha alioyapitia . Poor you Sinzonje.
 

dany_Biggie

Member
Aug 21, 2013
43
125
Cjaelewa yaan nithaman imepanda...? Au ni upungufu uliyopo wa fedha nchini ndyo ukionekana na jero upewe heshima....? Ndugu kaa ukijua ya kwamba scarcity of money aiwezi ata ckumoja kupandisha thamani ya pesa ya nchi flan ladha kuwepo na scarcity ya fedha za ndani then dolla iwepo nyingi watu wawe wananunua fedha za ndani hapo ndyo thamani ya pesa itapanda bt kwa usawa huu uchumi utadorora... Lakini cjakuelewa kwenye mada yako
 

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,047
2,000
Hivi purchasing power yake ikoje?!
Hizi sifa za kijinga zinachangia sana kumpoteza Mheshimiwa!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom