Heshima ya CHADEMA yaongezeka duniani

Heshima ya CHADEMA yaongezeka duniani

Ila Huyu mkuu. Kweli kipendacho roho. Anajidanganya mpaka anaona kweli. Hivi tuchukue mfano wa kujulikana kwa republicans kunaongezaje kura zao kutoka Tz. Yani Ni nini Sasa hiyo. Kwamba Ufadhili utaongezeka au. Mfano CCM ijulikane kimataifa and then what?

Umekaa kama unasubiri kuuza nchi Hivi kwa wanaume wa kimataifa. Hao mataifa kama at all wana interest na wewe ujue wanaona maslahi yao Ona Museveni Uganda. Ona Paul B wa Cameroon [emoji1062]. Watu wanateseka for real sio majanga ya kujitakia kwa matusi na kujitekenya. Na Hata huo uwezo wa kupiga maneno kama huku hawana. Lakini Ufaransa ndo anasupport sana. Na Uganda marekani yupo sana.

So unapoandika wakati unamsubiri Balozi wako polepole akwamishe biashara zako Malawi kisa humpendi tumia hata akili kidogo. Mahaba huwa yanaondoa reasoning.
Umechanganya mambo mengi sana kwenye fuko moja , hueleweki na wala huelewi , biashara zangu Malawi haziwezi kuvurugwa na Polepole , ila nina mashaka na ubalozi wake
 
Back
Top Bottom